Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

Kaka kuna Kanisa huko, namaanisha Kanisa la wazi, sio lile la kujificha, maana najua hizo nchi haziruhusu kitu chochote chyenye kuonyesha Ukristo (misalaba, bible ect)
Kuna eneo serikali limelitenga kwa ajili ya makanisa and kuna makanisa ya mataifa mbali mbali. So kuhusu Ibada ya kikristo sio tatizo huku.
 
naomba kujua wapi yalipo maduka/masoko/shopping mall ya simu,kompyuta,memory cards,flash,tablet na bei zake.
pia ningependa kujuzwa kuhusu biashara ya nguo na vipodozi.
Natanguliza shukrani zangu.
Nalog off

Maduka hayo yako sehemu inaitwa Naif. Ukifika airport ukiongea na tax driver anakuleta Naif unatafuta hotel ila ukiwa na mwenyeji ndo rahisi zaidi atakusaidia ku book hotel na kukutembeza madukani.
 
Unaponunua mzigo kuna mahali pa kutunzia? Maana kwa mfano unanunua kidogo kidogo! Na taratibu za kusafirisha zikoje?
Ukinunua mzigo ukiwaachia hotel name na room number wanakufikishia mzigo wako salama kabisa. Mizigo yako yote unaweza kuiifadhi hotelini hadi siku unayoondoka ukachukua tax hadi airport
 
naomba kujua wapi yalipo maduka/masoko/shopping mall ya simu,kompyuta,memory cards,flash,tablet na bei zake.
pia ningependa kujuzwa kuhusu biashara ya nguo na vipodozi.
Natanguliza shukrani zangu.
Nalog off

Kuhusu bei ya vitu kama simu, tablets, memory cards n flash inategemea na aina na specifications. +971554157299 nicheki whatsapp kwa msaada zaidi
 
Maduka hayo yako sehemu inaitwa Naif. Ukifika airport ukiongea na tax driver anakuleta Naif unatafuta hotel ila ukiwa na mwenyeji ndo rahisi zaidi atakusaidia ku book hotel na kukutembeza madukani.
nashukuru mkuu kwa majibu yako.
Nalog off
 
kaka, je naweza kukuagiza kamzigo kangu ka million moja nikaletewa mzigo?
Naomba nijibu kaka nina shida kubwa sana. Unaweza ukanipigia kunitumia smhs unisauri kaka yngu mpendwa. Mimi mama yako wa miaa 55 smu yangu ni no. 0713 68 96 65

Inawezekana kabisa...hata me plans zangu nikujilita kwenye biashara ya kununua mzigo na kutuma Dar as well as kuchukua order za watu na kuwatumia. Tatizo ni uaminifu na mtaji. Uaminifu kwa maana hii kama mtu anataka mzigo flani na hatujuani ntumekutana huku kwenye mitandao ya kijamii je ataniamini kunitumia hela nimnunulie mzigo wake?
 
So far kuna dada yangu ana duka lake kariakoo la nguo za wanawake. Naweza kumtumia kama mdhamini kwa mtu anaetaka mzigo flani baada ya kudiscusa juu ya gharama za kununua na kutuma. Naweza kumpa namba ya huyo ili awe link between na pia kumpa imani mtu anaetaka bidhaa flani.
 
Tumekupata vyema bw. Goodchance Tondi
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana kabisa...hata me plans zangu nikujilita kwenye biashara ya kununua mzigo na kutuma Dar as well as kuchukua order za watu na kuwatumia. Tatizo ni uaminifu na mtaji. Uaminifu kwa maana hii kama mtu anataka mzigo flani na hatujuani ntumekutana huku kwenye mitandao ya kijamii je ataniamini kunitumia hela nimnunulie mzigo wake?

Hapo kwenye red mkuu ndo kuna matatizo kibao, "UAMINIFU". Vijana wengi wametawaliwa na tamaa, kiasi kwamba akitumiwa kihela kidogo tu hachelewi kubadili namba ya simu. Hii kwa mtu ambaye uko huko ingeweza kuwa sehemu ya biashara yako. Sisi akina yakhe ambao hatuwezi kusafiri mpaka huko ukawa unatutumia mzigo na wewe unapata commission yako hapo siku inaenda! Lakini sasa hivi nani anaweza kumwamini mtu kwenye mtandao kama hivi?
 
Bwana Goodchance unampango wakutumia njia gani kuwafikishia mzigo wateja wako?
 
Last edited by a moderator:
Bwana Goodchance unampango wakutumia njia gani kuwafikishia mzigo wateja wako?
Easy sana kwa mizigo midogo kuna agent ambae anasafirisha kwa njia ya ndege ambayo ndo fatest way lakini ni expensive kidogo. Otherwise kwa mizigo ambayo ni mizito naituma kwa sea cargo
 
Last edited by a moderator:
Easy sana kwa mizigo midogo kuna agent ambae anasafirisha kwa njia ya ndege ambayo ndo fatest way lakini ni expensive kidogo. Otherwise kwa mizigo ambayo ni mizito naituma kwa sea cargo

Inakuwaje malipo ya TRA ni juu yako au juu ya mteja? Kwa sababu ninaishi UAE miaka 5 sasa,nilishajaribu nikashindwa hizo njia za cargo,Mimi napitishia znz mzigo unachukua mwezi mmoja mpaka mwezi na nusu,
 
Kweli kaka kwa njia ya dar Tra ni tatizo. Nitakubaliana na mteja baada ya kucalculate gharama zote na yeye akajua.
 
Ndugu yangu kuhusu vifaa vya ujenzi vipo kila aina tena kwa bei nzuri kulinganisha na kwetu,kuhusu saruji sina uzoefu nao sana lakini niliwahi kununua hapa nakumbuka ilikuwa kiasi kama Tshs 12 elfu Kwa mfuko ila ni kiasi miaka 3 iliyopita Kwa sasa sifaham

Ushauri wako ni mzuri sana lakini nadhani umechanganya kidogo hapo kwenye bei ya Saruji,bei ya Saruji kwa Dubai haijawaifika 12,000/bei yake kwa miaka zaidi ya sita ni dhs 8 ambazo ni kama Tsh 3400,ila kwa sasa kutokana na ujenzi mkubwa wa hoteli na viwanja vya mpira unaoendelea nchi jirani ya Qatar kwa ajiri ya kombe la dunia,Saruji imepanda mpaka dhs 11 ambazo ni kama Tsh 4,675/ kwa mfuko,kwa mtu ataye nunua akumbuke kuomba cheti cha ubora ili kuepuka usumbufu unaowezapata toka kwa TBS.
 
Sawa kabisa hata Mimi hiyo bei sijanunua mimi nilikuwa na ujenzi nikampa muhindi ndio bei aliyoniambia,sina shaka najua wahindi hawashindwi kunipa bei hiyo,nashkuru mkuu tuko pamoja
 
Back
Top Bottom