Goodchance
Member
- Jun 27, 2014
- 19
- 18
- Thread starter
- #41
Kuna eneo serikali limelitenga kwa ajili ya makanisa and kuna makanisa ya mataifa mbali mbali. So kuhusu Ibada ya kikristo sio tatizo huku.Kaka kuna Kanisa huko, namaanisha Kanisa la wazi, sio lile la kujificha, maana najua hizo nchi haziruhusu kitu chochote chyenye kuonyesha Ukristo (misalaba, bible ect)