Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

Nia yangu ni kukujulisha kua hata Kama ghali sio ghali kiasi hicho kwa hotel Kama hizo, Tara aed200-250, Gold plaza 200, sima 255 na ile ya wa Yemen ilokua karibu na sima opp na chinese commodity pia wana nipa best rate.

Hizo ndio bei zake za kawaida kwa kusaidia ambaye hajaelewa bei hizi kwa pesa yetu ni kati ya Tsh 75,000-100,000/ japo wakati wa Summer hoteli ndogo kama hizi ata kwa 28,000-50,000/ unapata chumba.Lakini December hizi hizi hoteli zinakwenda mpaka (tsh 200,000) maana zile kubwa zote zinakuwa zimejaa.Namba za hoteli nimetoa hapo juu yoyote anayetaka kwenda December apige na afanye booking.
 
Inawezekana kabisa...hata me plans zangu nikujilita kwenye biashara ya kununua mzigo na kutuma Dar as well as kuchukua order za watu na kuwatumia. Tatizo ni uaminifu na mtaji. Uaminifu kwa maana hii kama mtu anataka mzigo flani na hatujuani ntumekutana huku kwenye mitandao ya kijamii je ataniamini kunitumia hela nimnunulie mzigo wake?

atakuamini tu kama utakua na ofisi mfano dar.mtu anaweka oda na kulipia hapo na kuchukulia mzigo hapo pia
 
Andaa mtaji wako tu,kuna soko linalouza vifaa vya aina yako pale Naif kuna kila vipodozi unavyotaka,kikubwa wewe kufanya utaratibu wakutoa mzigo wako hapo Dar ,

Nimeona ninsaidie huyo jamaa kujibu

Falme za kiarabu sio kama Bongo ambapo mchina mwekezaji anaweza kuwa na frame kariakoo ya biashara rejareja!!!
 
Wakuu, nahitaji info,contacts,website etc za wauzaji wa vifaa vya umeme kama switch, cables, fitting za taa, taa za urembo na bulbs etc. Ningependa kujua bei za huko before sijafunga safari.mwenye info kwa hiyo category.
 
Najaribu ku attach picha za hizo taa maana nilinunua wiki iliyopita lakini sioni option kwenye hii simu,ukiweza ni add whatsapp nikutumie picha na bei ili ujipange kabda ya kwenda kununua mzigo,ni cheap sana +971504374387
 
Thanks mkuu
 
Safi mkuu kwa kunijua. One love

Ingawa ameviolate sheria za jf.....maana hata mm nalikufahamu toka zamani kama classmate pale Dom lakini sikutaka kuyasema majina yako kwasabb ni kinyume na sheria za jf....

Anyway nikupongeze kwa wazo zuri na ntakutafta ili tuone tunafanyaje hiii idea iwe endelevu na iwe ni ajira.
Asante.
 
Najaribu ku attach picha za hizo taa maana nilinunua wiki iliyopita lakini sioni option kwenye hii simu,ukiweza ni add whatsapp nikutumie picha na bei ili ujipange kabda ya kwenda kununua mzigo,ni cheap sana +971504374387

Mkuu nna shida na printing mashine ya kuprint banners na A3,A4 flyers. Pamoja na Commercial Washing mashine na Photocopy mashine kubwa. Naomba msaada wa bei za hivo vitu huko.
 
Habari zenu wana jf. Leo nataka niwaambie kuhusu fursa za biashara ndani ya falme za kiarabu na wadau wengine wenye uzoefu na huku wanaweza kuongezea ambapo sijapagusia.
Uwepo wangu huku kwa kipindi cha zaidi ya mwezi nimeweza kujifunza na kutafiti fursa mbali mbali ambazo kwa mfanyabiashara mwenye mtaji mdogo, wa kati na mtaji wa juu anaweza kufaidika na fursa hizi. Either kwa kuagiza mzigo au kuja mwenyewe na kustudy fursa hizo then akapata idea ya biashara gani anaweza kuifanya.
Kwa haraka haraka fursa ambazo nimeziona ni kama zifuatazo
1. Biashara ya nguo.
2.Biashara ya vifaa vya ujenzi na umeme
3. Biashara ya vipodozi
4. Magari ya biashara au ya matumizi binafsi
5. Spea za magari
6. Tende kwa msimu huu wa Ramadan
7. Simu, laptops. Tablets n.k

Unaweza kuuliza swali nikakupa msaada kadri ya uelewa wangu
Mkuu nna shida na printing mashine ya kuprint banners na A3,A4 flyers. Pamoja na Commercial Washing mashine na Photocopy mashine kubwa. Naomba msaada wa bei za hivo vitu huko.
 
Mkuu nna shida na printing mashine ya kuprint banners na A3,A4 flyers. Pamoja na Commercial Washing mashine na Photocopy mashine kubwa. Naomba msaada wa bei za hivo vitu huko.
Namimi nina shida na hii kitu. Naomba mkuu lucky sabasaba utusaidie sana bei za hii kitu hususani canon, ukitupia picha kama utakuwa nazo itakuwa mwake sana.
Thanks in advance
 
Last edited by a moderator:
Namimi nina shida na hii kitu. Naomba mkuu lucky sabasaba utusaidie sana bei za hii kitu hususani canon, ukitupia picha kama utakuwa nazo itakuwa mwake sana.
Thanks in advance

Hii kitu inapatikana kwa wingi Sharjah zaidi ya Dubai,Kuna member mwenzetu anaitwa Mito alishawai kuagiza,dealer mkuu anaitwa Habib piga +97165319223 anazo mpya na used.Nilipita dukani kwake mwezi uliopita nikaona used photocopier Sharp model AR-5051 alikuwa anauza Tsh 520,000/
 
Mkuu ubarikiwe sana nashukuru. Vp kuhusu kodi za TRA wanapigaje hesabu maana watu tunataka kucalculate total cost kabisa.
 
ki ukweli dubai vitu ni bei rahisi japo sikukaa sana ila nililiona hilo,kuna vitu nilinunua mall of emirates(moe) vilikuwa ni bei rahisi mpaka nikashangaa, mfano nilinunua flash ya gb 8 kwa dirham 10 ambayo ni sawa ni aprox 4600/= ambapo huku kwa jk sijui ingekuwaje,pia nguo ni bei rahisi sana,kwa wenye mitaji kweli pale mahali panafaa sana,pia usafiri sio ghali sana cause kuna option mbili,ya kwanza ni kufly directly to dubai from dar(hii ni expensive kidogo) na nyingine ni ya kupitia doha(hii ni cheap ukilinganisha na ya kwanza).Ni hayo tu

yakupitia doha inakuaje
 
Hii kitu
inapatikana kwa wingi Sharjah zaidi ya Dubai,Kuna member mwenzetu
anaitwa Mito alishawai kuagiza,dealer mkuu anaitwa Habib piga
+97165319223 anazo mpya na used.Nilipita dukani kwake mwezi uliopita
nikaona used photocopier Sharp model AR-5051 alikuwa anauza Tsh
520,000/

Mkuu Naweza kupata bei ya vifaa used vya dry cleaning?
 
Hi, vipi kuhusu bei ya flash 4Gb na 8G Adata memory card 4gb,8gb,16gb na 32gb waweza kunifanyia uchunguzi wa bei
 
Mm nataka kujua bei za injini 3L na 5L za Toyota hiace kwa Dubai na ushuru wake,Natanguliza shukrani.
 
Mm nataka kujua bei za injini 3L na 5L za Toyota hiace kwa Dubai na ushuru wake,Natanguliza shukrani.

Nadhani wataka ya biashara Dungu (super roof)nzuri yatakiwa kuwa Disel na manual ambayo bei yake ni kama $7800 model ya 2004 ukinunua watakiwa kuitolea viti ili ushuru wake ushuke (around 7.5ml)ila ikiwa na viti itapanda sana.Automatic ambayo ni Petrol ni cheaper almost $5200 lakini si nzuri kibiashara.
 
Jamn hiyo price ya chumba ni kwa usiku mmoja au?

Hiyo ni kwa siku na hizo hoteli ni ndogo sana lakini zinakuwa chini sana summer time,ndio maana wafanyabiashara wazuri uwa wanasafiri katika ka group ili kushare cost.Hakuna kitu expensive Dubai kama sehemu ya kulala.
 
Back
Top Bottom