lucky sabasaba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,656
- 1,204
Nia yangu ni kukujulisha kua hata Kama ghali sio ghali kiasi hicho kwa hotel Kama hizo, Tara aed200-250, Gold plaza 200, sima 255 na ile ya wa Yemen ilokua karibu na sima opp na chinese commodity pia wana nipa best rate.
Hizo ndio bei zake za kawaida kwa kusaidia ambaye hajaelewa bei hizi kwa pesa yetu ni kati ya Tsh 75,000-100,000/ japo wakati wa Summer hoteli ndogo kama hizi ata kwa 28,000-50,000/ unapata chumba.Lakini December hizi hizi hoteli zinakwenda mpaka (tsh 200,000) maana zile kubwa zote zinakuwa zimejaa.Namba za hoteli nimetoa hapo juu yoyote anayetaka kwenda December apige na afanye booking.