Mtoto Tajiri
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 300
- 173
Nadhani wataka ya biashara Dungu (super roof)nzuri yatakiwa kuwa Disel na manual ambayo bei yake ni kama $7800 model ya 2004 ukinunua watakiwa kuitolea viti ili ushuru wake ushuke (around 7.5ml)ila ikiwa na viti itapanda sana.Automatic ambayo ni Petrol ni cheaper almost $5200 lakini si nzuri kibiashara.
Mkuu mm nilikuwa naulizia bei za Engine peke yake!