Goodchance
Member
- Jun 27, 2014
- 19
- 18
Habari zenu wana jf. Leo nataka niwaambie kuhusu fursa za biashara ndani ya falme za kiarabu na wadau wengine wenye uzoefu na huku wanaweza kuongezea ambapo sijapagusia.
Uwepo wangu huku kwa kipindi cha zaidi ya mwezi nimeweza kujifunza na kutafiti fursa mbali mbali ambazo kwa mfanyabiashara mwenye mtaji mdogo, wa kati na mtaji wa juu anaweza kufaidika na fursa hizi. Either kwa kuagiza mzigo au kuja mwenyewe na kustudy fursa hizo then akapata idea ya biashara gani anaweza kuifanya.
Kwa haraka haraka fursa ambazo nimeziona ni kama zifuatazo
1. Biashara ya nguo.
2.Biashara ya vifaa vya ujenzi na umeme
3. Biashara ya vipodozi
4. Magari ya biashara au ya matumizi binafsi
5. Spea za magari
6. Tende kwa msimu huu wa Ramadan
7. Simu, laptops. Tablets n.k
Unaweza kuuliza swali nikakupa msaada kadri ya uelewa wangu