Fursa za biashara U.A.E (Dubai)


Mkuu mm nilikuwa naulizia bei za Engine peke yake!
 

vp mkuu nifanyeje ili niwe naagiza mabalo ya mitumba na nitayapokelea wapi na nani ataniletea!
 
vp mkuu nifanyeje ili niwe naagiza mabalo ya mitumba na nitayapokelea wapi na nani ataniletea!

Tafuta mtu alie hapa unaemwamini halafu muelekeze unataka bidhaa gani, ziko njia nyingi zakutuma huko ukitaka haraka ukitaka kwa muda mrefu zote zipo,
 
Duuh!! Huu uzi umenivutia sana. Ningependa tu kujua samsung tv siries 7 huko ni bei gan?
 
Plz naeza pata exchange rate kiongoz wangu tzs na ya huko?
 
Plz naeza pata exchange rate kiongoz wangu tzs na ya huko?

Hizo bei ukigawanya kwa 3.66 utapata Us dollar au ukizidisha kwa 390 utapata Tsh.Kama nilivyosema inatakiwa kujua ni lini mda wa kufuata mzigo,kipindi cha summer kunakuwa na punguzo kubwa sana.
 
Mie nataka kuja uko next year mwezi July, vipi utakuwa bado upo uwe mwenyeji wangu jaman
 

#winston
niaje ndugu nlikuwa nahitaj unipe mxaada wa kupata bidhaa toka duba waelekea ww n mzoefu kidogo nkiwa nahitaj kununua nguo za kike kiume viatyu , vipodoz urembo perfumes , xaa , n kama nahitaj mtaji wa tshs ngapi ?? ..... msaada tafadhal na nahitaj mtu wa kwenda kunichukulia huo mzigo namba yng n 0719821774 n check tafadhal nahitaj tuwacliane
 
Wakuu kwaalie fanikiwa kuagiza Bidhaa Dubai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…