Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
- #221
POST HII USITOE PESA KABISA PLEASE BILA KUPATA KAZ..👇👇👇TAARIFA*
MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA
KESHO TAR 26 JULAI 2024 KUTAKUWA NA TEST KWA MADEREVA HIVYO KWA YEYOTE MWENYE NDUGU, JAMAA WA KARIBU AMBAYE ANAMJUA UJUZI NA UZOEFU WAKE KWENYE UDEREVA AMFIKISHIE TAARIFA ILI AFIKE KESHO AKIWA NA LESENI, TIN, NSSF NA NIDA (MUHIMU)
MUDA NI ASUBUHI SAA TATU. MAHALI NI YARD VINGUNGUTI.
Piga +255 659 635 511 kupata maelekezo
Kesho tarehe 26 Julai 2024
ASANTENI
ni Mitaa ya SIDO ilipo Goodwill au Saphire upande wa Airport ipo opposite na Taifa Transporters
Sehemu inaitwa Transnovation Motors Limited (au LIUHE ).