Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari y nn mkuuHatar tupu.
Naona kama hili tangazo limekaa kimtego halijanyooka kueleza kuwa kiwanda cha bora nikiwanda kinajihusisha na uzalishaji wa nini ili mtafuta kazi afahamu anaenda kiwanda cha nondo,bati au bidhaa gani.WALE WA KAZI YOYOTE 2/6/2024
Hlw...Nahitaji vijana wa kufany kaz kiwandani.kiwanda cha BORA..kiwanda kipo Tazara ..pembeni ya kiwanda cha sigara kama yupo tuwasiliane malipo ni bei ya viwandan kwa mujibu wa sheria ....njoo juumatatu ya tr.03/06/mda wa sa moja kamili uwe getini... usikae nnje ya get jitambulishe kwa walinz kama unaenda ofice ya IJOBRA COMPANY. Ama pga sim...
0623092464(supervisor) nahitaji watu wanaokaa karibu na wnye utayar wa kufanya night shift.
NI WANAUME TU.
(Wanawake idadi ishatimia)
Hakuna malipo toyote kupata kazi.
Kilichokaa kimtego achana nacho mkuu soma meseji zangu vizuri. Ukiona una wasiwasi wowote na tangazo lolote liache au ignore thread nzima. Relax mkuu mana mm nayakopi tuNaona kama hili tangazo limekaa kimtego halijanyooka kueleza kuwa kiwanda cha bora nikiwanda kinajihusisha na uzalishaji wa nini ili mtafuta kazi afahamu anaenda kiwanda cha nondo,bati au bidhaa gani.
Pia tangazo limeeleza kuwa kazi na malipo ni kwa mujibu wa sheria za kazi viwandani je mtanzania gan anajua sheria za malipo hayo na pia nimalipo ya day payment,weekly or monthly
Kwenu studio[emoji1696]