Habari wakuu,
Kwa yeyote anayetafuta fursa ya kufanya kazi mtandaoni akiwa nyumbani (Fully Remote), kampuni ya teknolojia ya Alignerr kutoka Marekani (inayomilikiwa na Labelbox) imefungua milango ya ajira kwa wataalamu wa fani mbalimbali nchini Tanzania ili kusaidia kuifundisha na kuinoa mifumo ya Akili Mnemba (AI).
Malipo ni makubwa sana, kuanzia $30 hadi $100+ kwa saa (zaidi ya Tsh 80,000 hadi Tsh 270,000+ kwa saa moja) kulingana na fani na ugumu wa kazi. Unafanya kazi ukiwa nyumbani kwako na kwa muda unaouchagua wewe (Flexible hours).
Hizi hapa nafasi zilizopo sasa hivi na link zake za kuomba moja kwa moja:
1. SECTOR YA TEKNOLOJIA NA UHANDISI (IT & Engineering)
Kama una uzoefu wa kuandika kodi (coding) na masuala ya mifumo, chagua link inayokufaa hapa chini:
Robotics ML Expert — MuJoCo Environments
Link:
Alignerr | Powered by Labelbox
Senior Software Engineer (AI Infrastructure)
Link:
Alignerr | Powered by Labelbox
Lua Programmer (AI Training)
Link:
Alignerr | Powered by Labelbox
2. SECTOR YA BIASHARA NA UCHUMI (Finance & Accounting)
Kama umesomea masuala ya fedha, uhasibu, au uchambuzi wa kibiashara, unaweza kuomba hapa:
Link: Financial Analyst — AI Model Reviewer
Earn money while training AI models from home on your own time
Financial Analyst — AI Model Reviewer (AI Training)
Link:
Alignerr | Powered by Labelbox
3. SECTOR YA ANGA (Aviation & Air Traffic)
Nafasi ya kipekee sana kwa wataalamu wa mifumo ya usafiri wa anga:
Air Traffic Systems Annotator – Expert (AI Training)
Link:
Alignerr | Powered by Labelbox
Mchakato wa Kuomba:
1. Bofya link ya nafasi inayolingana na ujuzi wako.
2. Jisajili kwa kutumia email yako na ujaze taarifa zako vizuri.
3. Utatakiwa kufanya mtihani mfupi mtandaoni (Skills Assessment) ili kuthibitisha ujuzi wako. Ukifaulu, unaingizwa kwenye mfumo na kuanza kupewa kazi.
Kila la heri wakuu! Changamkien fursa.