Fursa za Kibiashara, Democratic Republic of the Congo


Msumeno Ondoa Shaka Mkuu I was just Kidding Ila Samahani Kama Nimekukwaza, Tupo Pamoja Daima.
 
biashara za kuzunguka nazikubali sana, najikusanya nipate mtaji lazima nifike mpaka sudan kupeleka mzigo!
 

Nilikuwa nasoma thread taratiibu ili nisome mpaka mwisho ndiyo nirejee kupost, nimefika kwenye hii post mwili umepiga paaaa! hapo kwenye mawe, mawe, maweeee! hapo ndiyo kwenye pesa ya bure (siyo halali kuita faida, NI PESA YA BURE!), msiogope usalama, ni ujanja wako tu na kujiepusha watu wasikusome, umenunua mzigo leo unasema kesho unasafiri wewe ondoka leoleo na upite njia tofauti kabisa, kusurvive kwenye mazingira ya hatari is an art and a science, na pesa za kwenye sehem zenye migogoro ziko nyingi sana na ni za bure kwa wajanja tu!kufa ni popote, hata kariakoo watu wanapigwa risasi mchana kweupeee!
 

we jamaa utakuwa na roho ngumu sana
 
Ila kwa maelezo, food 5$ bei sana, guest 20$

Bado njia za kufika huko gharama, yawezekana kuna market, ila inahtaji mtaji na survey sana kabla ya kubeba mzigo na kwenda nao
 

Aisee!!!! Wengine waoga kweli
 

kijana unaonekana jasiri, nitakupm unifanyie kazi yngu
 
we jamaa utakuwa na roho ngumu sana

Siyo roho ngumu kaka, NINA NJAA NA PESA NA HUWA SISHIBI! Sehem yoyote yenye conflict ni pesa, kuna vitu utavikuta kule ambavyo bei zake ni bure ukileta huku kwenye amani ni gold, na kuna vitu vya kijinga ambavyo unavichukua huku na kuvipeleka kule wanakuamkia!
 
Aisee!!!! Wengine waoga kweli

Uoga wako.......! Nyie dada zetu hamtakiwi kurisk sana, ni wachache wenye mioyo mipana na uwezo wa kupokea mabadiliko yoyote positively, kuna dada mmoja tulikkuwa tunamwita BAJA, wachaaa!
 
Uoga wako.......! Nyie dada zetu hamtakiwi kurisk sana, ni wachache wenye mioyo mipana na uwezo wa kupokea mabadiliko yoyote positively, kuna dada mmoja tulikkuwa tunamwita BAJA, wachaaa!

Uoga unakuja pale tukishakumbana na matatizo mbalimbali katika biashara na haswa za kusafiri kiasi una risk kupoteza maisha au kubakwa we acha tu mkuu
 
Uoga unakuja pale tukishakumbana na matatizo mbalimbali katika biashara na haswa za kusafiri kiasi una risk kupoteza maisha au kubakwa we acha tu mkuu

tena wale waasi wa FDR wakishajua wewe ni mbongo wanaona kama zali
wanakubaka vibaya sana wapuu.zi wale, mpaka BBC wamewaanzishia kipind cha ubakaji!
 
halafu mkuu msumeno samahani kama unaweza kufahamu hili, mtanzania akitaka kuanzisha biashara kule taratibu zimekaaje, yaani kufungua ofisi.....nchi zingine wanakuwa strict sana kwa wageni, vipi huko?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Asante kwa kutupatia gudnews! mi lazima nilifanyie kazi hili. Mahala penye risk ya usalama wangu ndo huwa nagonga nyundo mm.. Wengine tushauza roho zetu! The higher the risk the higher the return.
 
Last edited by a moderator:
thanx alot bro,nilishawahi kusikia kuhusu dagaa wa mwanza,wewe uko sehemu gani uko congo?na pia ili kufika goma ni lazma kupitia lubumbashi au hata kigoma kwa njia ya maji ntafika huko?ipi ni rahisi na safe koz hali ya kisiasa baadhi ya maeneo si njema sana,thanks in advance!
 
I plan to come and scout the area...nani yupo huko atoe mwelekeo at least tuwe na idea
 
eeeeeh! hii ndio ile kitu wajanja tunasemaga weka deal mezani, ujanja kusaka pesa....shukurani zangu nyingi kwako mleta mada
 
je unaishi huko.gharama za malzi na na unafikaje. eg. ndege au road au boti
 

mkuu, angalia na fursa ya kufundisha chuo kikuu, vipo wanahitaji wahadhiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…