Fursa za Kibiashara, Democratic Republic of the Congo

Fursa za Kibiashara, Democratic Republic of the Congo

tena wale waasi wa FDR wakishajua wewe ni mbongo wanaona kama zali
wanakubaka vibaya sana wapuu.zi wale, mpaka BBC wamewaanzishia kipind cha ubakaji!

acha uwongo, fldr hawawezi kubaka watanzania. Tatizo la ubakaji ni kwa wahuni wa m 23 na jeshi la rwanda!
 
tena wale waasi wa FDR wakishajua wewe ni mbongo wanaona kama zali
wanakubaka vibaya sana wapuu.zi wale, mpaka BBC wamewaanzishia kipind cha ubakaji!

We nawe baada ya kunitoa woga unazidi kuniogopesha teh!
 
Mkuu msumeno ngoja niwe serious kwa mfano nataka kupeleka khanga ,vitenge na viatu vya kimasai naweza uza kiasi gani? Let's say nanunua khanga bei ya jumla 3000 kwa doti naweza uza kiasi gani kule?
Na je vipi kwa Mtanzania kumiliki duka lako mwenyewe inawezekana?
 
Last edited by a moderator:
Kuna rafiki yangu wa kikongo aliwahi kuniacha kwenye meli pale kigoma bandarini,akahepa na mzigo wangu.
Nashukuru maana safari ilikuwa haijaanza
 
Dhahabu sikushauri ... ziko sana hasa kwa waasi ilawanakuuzia then wanawatonya washikaji wanakuja kuzichukua baadae.. na ujue pia kwa rwanda ukikamatwa 20 years jela unless upitia serekarini ambako sina ujuzi nako.. wapigaji wanatoka lakini ni risk sana.. si dhahabu hata alimasi na mawe menigine GOMA ndo kwao...

Tormaline bado zipo Goma, Bei ikoje?
 
Mi nikija huko nakutafuta, sijui na huko unajiita Msumeno?
 
Tatizo moja ukienda na biashara maxmum ni mara3 zaidi ya hapo kutapeliwa ni lazima.
 
Mkuu msumeno ngoja niwe serious kwa mfano nataka kupeleka khanga ,vitenge na viatu vya kimasai naweza uza kiasi gani? Let's say nanunua khanga bei ya jumla 3000 kwa doti naweza uza kiasi gani kule?
Na je vipi kwa Mtanzania kumiliki duka lako mwenyewe inawezekana?

Niko Kigali leo nakuja home Tanzania Dar.. narudi huku baada ya wiki mbili (insha Allah) nikirudi nitayafanyia kazi maswali yako ili nikupe data kamili maana nina jamaa yangu ni mfanya baishara mkubwa tu hapa najua hizo procedure za kuanzisha biashara anaweza zijua vyema... tukumbushane tu after two weeks
 
halafu mkuu msumeno samahani kama unaweza kufahamu hili, mtanzania akitaka kuanzisha biashara kule taratibu zimekaaje, yaani kufungua ofisi.....nchi zingine wanakuwa strict sana kwa wageni, vipi huko?

naomba unipe week mbili na nusu hivi maana niko kigali narudi home likizo futu ... baada ya wiki mili narudi nitakufahamisha nina jamaa zangu wafanya biashara hapa .. nataka ni we na uhakika kabla sijakujibu
 
We nawe baada ya kunitoa woga unazidi kuniogopesha teh!

Anakuogopesha tu..... Goma mji mkubwa watu wakwenda beach .. clubs imagine hapa sasa hata cafew imeshakuwa lifted.. amani imerejea tuko happy hapa achana wanaokuvunja moyo..
 
acha uwongo, fldr hawawezi kubaka watanzania. Tatizo la ubakaji ni kwa wahuni wa m 23 na jeshi la rwanda!

Sahihi maneno yako,, DRC Mtanzania anathaminiwa saaaaaana unajua kwa nini wanajeshi wetu wametupa hadhi hii kwa nidhamu na upole na uugwana kwa raia... wana kitengo cha mahusiano na raia kinafanya kazi vizuri sana
 
Niko Kigali leo nakuja home Tanzania Dar.. narudi huku baada ya wiki mbili (insha Allah) nikirudi nitayafanyia kazi maswali yako ili nikupe data kamili maana nina jamaa yangu ni mfanya baishara mkubwa tu hapa najua hizo procedure za kuanzisha biashara anaweza zijua vyema... tukumbushane tu after two weeks

Sawa mkuu nasubiri feedback
 
DRC ni kubwa nitakuelezea kuhusu GOMA na BENI na BUTEMBO maana ndo maeneo niliyopo... kwa Goma unapitia kwa Mjomba Kagame pale Rwanda kigali then unapanda bus au taxi mpaka Mkoa wa Gisenyi, Gisenyi na Goma nikama zimeungana tu ni kama Esebania na Sirari sijui nauli kwa bus toka dar mpaka Kigali lakini kwa ndege ni chini ya dola 400 return ticket na dola 7 kwa bus mpaka gisenyi na 90 kwa taxi
Eish!!! M23. Msiende huko.
 
Mkuu nlkuwa nauliza uhutaji wa simu za mkononi upo..
Kuhusu m23 cdhan kama itakuadhili kama ushafanya survey kwanza coz watu wanafanya kaz na biashara huko how do they make it...WATANZANIA TUSIOGOPE KWENDA NJE YA TZ KUTAFUTA TUWE KAMA WAHINDI WACHINA WAZUNGU NA WANAIJERIA..TUAMMKE.
 
ningekuwa na mtaji mkubwa ningekuwa natoa mbao huko kuleta dar
nasikia huko mbao ni bei rahis sana
 
Back
Top Bottom