majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
tena wale waasi wa FDR wakishajua wewe ni mbongo wanaona kama zali
wanakubaka vibaya sana wapuu.zi wale, mpaka BBC wamewaanzishia kipind cha ubakaji!
I plan to come and scout the area...nani yupo huko atoe mwelekeo at least tuwe na idea
je unaishi huko.gharama za malzi na na unafikaje. eg. ndege au road au boti
tena wale waasi wa FDR wakishajua wewe ni mbongo wanaona kama zali
wanakubaka vibaya sana wapuu.zi wale, mpaka BBC wamewaanzishia kipind cha ubakaji!
Dhahabu sikushauri ... ziko sana hasa kwa waasi ilawanakuuzia then wanawatonya washikaji wanakuja kuzichukua baadae.. na ujue pia kwa rwanda ukikamatwa 20 years jela unless upitia serekarini ambako sina ujuzi nako.. wapigaji wanatoka lakini ni risk sana.. si dhahabu hata alimasi na mawe menigine GOMA ndo kwao...
Mkuu msumeno ngoja niwe serious kwa mfano nataka kupeleka khanga ,vitenge na viatu vya kimasai naweza uza kiasi gani? Let's say nanunua khanga bei ya jumla 3000 kwa doti naweza uza kiasi gani kule?
Na je vipi kwa Mtanzania kumiliki duka lako mwenyewe inawezekana?
halafu mkuu msumeno samahani kama unaweza kufahamu hili, mtanzania akitaka kuanzisha biashara kule taratibu zimekaaje, yaani kufungua ofisi.....nchi zingine wanakuwa strict sana kwa wageni, vipi huko?
acha uwongo, fldr hawawezi kubaka watanzania. Tatizo la ubakaji ni kwa wahuni wa m 23 na jeshi la rwanda!
Niko Kigali leo nakuja home Tanzania Dar.. narudi huku baada ya wiki mbili (insha Allah) nikirudi nitayafanyia kazi maswali yako ili nikupe data kamili maana nina jamaa yangu ni mfanya baishara mkubwa tu hapa najua hizo procedure za kuanzisha biashara anaweza zijua vyema... tukumbushane tu after two weeks
Eish!!! M23. Msiende huko.DRC ni kubwa nitakuelezea kuhusu GOMA na BENI na BUTEMBO maana ndo maeneo niliyopo... kwa Goma unapitia kwa Mjomba Kagame pale Rwanda kigali then unapanda bus au taxi mpaka Mkoa wa Gisenyi, Gisenyi na Goma nikama zimeungana tu ni kama Esebania na Sirari sijui nauli kwa bus toka dar mpaka Kigali lakini kwa ndege ni chini ya dola 400 return ticket na dola 7 kwa bus mpaka gisenyi na 90 kwa taxi
Eish!!! M23. Msiende huko.
Nitauliza vuta subra