Kuna rafiki yangu wa kikongo aliwahi kuniacha kwenye meli pale kigoma bandarini,akahepa na mzigo wangu.
Nashukuru maana safari ilikuwa haijaanza
Kaka bado upo Goma? natarajia kuwa Uvira mwishoni mwa mwezi huu. Tatizo la goma ni security.
Kiongozi msumeno kama nikitaka kuja Congo unaweza kunisaidia connection au wapi naweza kuanzia mm kwasasa nipo kigoma pia ningependa kujua bei ya kuuzia bidhaa kwa congo mfano khanga,viatu vya kimasai nk