Fursa za kiuchumi za kukutoa kimaisha kwa mkoa wa Kigoma hasa Ujiji na Kigoma mjini

Fursa za kiuchumi za kukutoa kimaisha kwa mkoa wa Kigoma hasa Ujiji na Kigoma mjini

Ujiji sijaona biashara ya kufanya hata kahawa wapo wengi na darkside inaonekana imetamalaki...njoo mwanga na pale karibu na station chuuza samaki huko ujiji njoo wauze pale mwanga na town jichanganye na wale wamama...zingatia jua samaki wazuri na freshi jua Bei ya kuuza ...FAIDA isizidi buku nunua mzigo Kama samaki 30 uhakoka wa FAIDA NI 30kwa mzigo...mdogo mdogo utatoboa na ujue si rahisi kuuziwa hao samaki kutoka kwa wavuvi wengi wamewekeza fedha au vipoch manyoa kupata mzigo kutoka kwa wavuvi...
 
Back
Top Bottom