6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
- Thread starter
- #221
Mtu anahisi akitaarifu watu wengine yeye atakosa au ni sisi tu Tanzania na ubinafsi wetu??#COVID19 - Nishaurini wakuu chanjo yaniogopesha
Habari ndugu zangu. Nisiwachoshe niende kwenye mada Nina SCHOLARSHIP TATU. 1. Oslo university NORWAY 2. Kenyatta univesity, Nairobi KENYA 3. Maseno university, Kisumu KENYA. Kusoma degree ya pili. Sasa naogopa nasikia mipakani au kusafiri ni lazima uchanjwe au uwe na certificate ya Corona...www.jamiiforums.com
Haya safari zimeiva, wanao baki bakini wanao enda ndio hao...
Kila MTU ana pambana kimya kimya hii ndio Tanzania aiseeee hahahahahaha