Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

Jaribu bahati yako... Skolashipusi ni nyingi kiongozi, tukingoja mtu wa kukusogezea uta kesha...

Zipo nyingi sana na ndio msimu wake huu

Zime funguka
Za Korea
Za Japan
Za urusi
Za Australia
Za USA
Za UK
Za Taiwan
Za hong Kong

Zipo nyingi sana, kama utajifungia bila kuangaza macho dunia ina zungukaje na wewe uendeje, basi utakuwa umepishana na mengi unayo yatamani

6Was9
Fursa hizi wadau ..wenye ndoto na malengo ya kusoma zaidi..nje ya nchi
 
Itabidi uanze na Dating site.. kama uko serious utafanikiwa , sio rahisi inahitaji uinvest muda sana napia uwe vizuri kwenye mazungumzo ya kuchat.. kutengeneza mada nzuri za kumfanya mlengwa wako kuwa interested..

Dating sites/app: Tinder, lovoo, kupid etc
umempa maelezo mengi natakiwa kwenda dating site sio huku
 
job post kutoka canada YUKON
moja kati ya majimbo wanayohitaji wahamiaji
 
namna yaku-immigrate to Yukon Province...

Worker eligibility​

The Yukon Nominee Program accepts applications for nominee candidates both inside and outside of Canada.
To qualify for the Yukon Nominee Program, you must:

  • have a full-time and year-round job offer from an eligible Yukon employer; and
  • meet the specific criteria of your application stream.
To qualify for the Yukon Business Nominee Program, you must meet the eligibility requirements.

You are not eligible if you're:

  • a refugee claimant; or
  • inadmissible to Canada.
link hii hapa
 
Get a job offer from a Yukon employer​

It's your responsibility to find employment in Yukon. The YNP does not play a role in recruitment or maintain a list of eligible Yukon employers.

If you do receive a job offer from a Yukon employer it's important to know:

  • employers are not obligated to nominate foreign workers under the YNP; and
  • employers cannot, directly or indirectly, charge or collect a fee or receive any financial gain for nominating a foreign worker.
 
If you cannot find work in Yukon​

The YNP is driven by employers looking to fill critical vacancies when qualified Canadians or permanent residents cannot be found. As a result, the number of foreign workers accepted into the program is connected to job vacancies in the territory. If you cannot find work in Yukon, then you cannot participate in the program.
 
If you cannot find work in Yukon​

The YNP is driven by employers looking to fill critical vacancies when qualified Canadians or permanent residents cannot be found. As a result, the number of foreign workers accepted into the program is connected to job vacancies in the territory. If you cannot find work in Yukon, then you cannot participate in the program.
 
namna yaku-immigrate to Yukon Province...

Worker eligibility​

The Yukon Nominee Program accepts applications for nominee candidates both inside and outside of Canada.
To qualify for the Yukon Nominee Program, you must:

  • have a full-time and year-round job offer from an eligible Yukon employer; and
  • meet the specific criteria of your application stream.
To qualify for the Yukon Business Nominee Program, you must meet the eligibility requirements.

You are not eligible if you're:

  • a refugee claimant; or
  • inadmissible to Canada.
link hii hapa
Important
 
Dvprogram.state.gov
Hii ni website ya kuapply green card visa/ permanent residence ya USA..
Unahesabika kama rai wa marekani mhamiaji...!
Poa hauitaji visa kuingia marekani ukiwa ...nayo hii!

Deadline nov 9 mwaka .. huu..

Hii ni bahati na sibu kuapata

Ku apply ni bure! Lakini ukishindi unalipia visa..

Ujipange na nauli ya kwenda moja kati ya states utakoyopenda kwenda kuishi
 
Video hapo juu habari ya 27th October..
Rais wa kenya aliingia makubaliano na serikali ya U.K ,kupeleka nurses huko U.K kuyokana na upungufu huko..

Tatiza sasa wakenye 200+ wamefail kingereza 10 tu ndio wamefaulu mtihani..
 
Hawa jamaa si ndio wanasema wabongo hatujui kizungu....
 
Hawa jamaa si ndio wanasema wabongo hatujui kizungu....
Ni watani zetu usiwachukulie seriously.. japo kuwa ni wapambanaji sana kwasasa nahisi wametapakaa nchi nyingi kuliko sisi kayika masuala ya kufukuzia fursa
 
KAMA KICHWA CHA UZI KINAVYOJIELEZA :

Karibu tuweze kushare fursa mbali mbali zinazopatikana nje ya mipaka ya nchi yetu ya TANZANIA.

Uzi huu ni maalumu kwa wote wenye roho nyeupe na mawazo chanya yatakayotuwezasha kuleta maendeleo katika nchi yetu..

kwa kuzifukuzia fursa nje ya nchi.

Tatizo la ajira kwa wahitimu wa fani mbali mbali kila siku linazidi kuongezeka,

hivyo basi ni vyema walau asilimia kadha kuangalia fursa nje ya mipaka ya Tz, kuliko wote " kukaa na kusikilizia mishe" au kusbiria ajira za serikalini.

Pia kwa wafanyabiashara wanaofikiria kukuza biashara zao kuexport na kuimport..

Wenye ndoto za kujiendeleza kimasomo ngazi za juu nchi za ulaya, marekani etc... kutafuta exposure na kadhalika..

Wale wa taloi walioizunguka hii dunia pia mnaweza kutupa mawili matatu,

kutokana na experience yenu na ni namna gani inaweza kumsaidia na MTanzania ambaye ana ndoto za kufanikisha moja ya mambo niliorodhesha kwenye kichwa cha uzi hapo juu..

Karibu!

View attachment 1889729

View attachment 1889731

View attachment 1889733
Wabongo walivyowachawi kama kunamtu ata share
 
Back
Top Bottom