Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

Nilisikia mtanzania kusoma ujerumani ni free, lakini itakulazima kusoma kijerumani kwanza kabla ya ya kwenda.
Yes vuou vingini huko ujerumani elimu ni bure kwa wananchi wake ... kuhusu kusoma bure ... kwa wageni labda tusbiri mwongozo kwa wadau

kwamba una2eza soma bure tofauti na scholarship??
 
Hiz visa nahitaj max kias gan kuomba?
It's free to apply diversity visa lottery/green card ..
ila ukishapata ukaazi wakudumu unajighramaikia visa , nauli ya kusafiri.. na uwe na pesa za kujikimu wewe na familia yako /baba mama watoto! Maana ukishinda wewe hado watoto unaondoka nao na wanahaki ya kisoma hiko bure kama raia wa US
 
Screenshot_20211109-160126_Facebook.jpg
 
It's free to apply diversity visa lottery/green card ..
ila ukishapata ukaazi wakudumu unajighramaikia visa , nauli ya kusafiri.. na uwe na pesa za kujikimu wewe na familia yako /baba mama watoto! Maana ukishinda wewe hado watoto unaondoka nao na wanahaki ya kisoma hiko bure kama raia wa US
Naomba kuuliza hivi huwezi kusafiri bika kua na tiketi ya kwenda na kurudi?? Lazima ziwe 2???
 
Inategemea umepewa visa ya muda gani na ya aina gani..

Nchi nyingi wameweka hiyo sheria lazima ukate go and return.. so unaweza fika huko uka cancel tiketi ya kurudi ukarudishiwa nusu hasara
 
Ok. Daah naona ukiwa ya miezi 3 bado watahitaji uwe na kwenda n kurudi.

Vipi unaweza kua unafahamu nauli ya kufika DXB. Naona emirates nauli imechangamka hakuna mashirika mengine yanayofanyab safari kutoka bongo??
 
Ethiopian air kenyair ...mkuu yapo mengi mkuu !

Ukikata ticket mapema na bei inakuwa inashuka kidogo.. yani kufanya booking mapema kama mwezi 1 kabla

Kama ni tourist Visa lazima ukate go and return, labda iwe work Visa Mkuu...!
 
Wanaija wamefanya tao tena... wiki kadhaa zilizopita wamehack mfumo wa form za mapmbi ya visa ya marekani kitu kama Hb1 visa...

Tetesi ni kuwa walijifanya wa Tz sasa sijiui walitumia PASSPORT zeyu za tz au ni vipi ...

Bafo uchunguzi unaendelea...
 
Fursa nyingi za internship, training na programu mbalimbali zinazotolewaa na nchi za nje kwaajili ya wa - Tz wanufaika wakubwa no wahindi waishio hapa Tz ...!
 
Tetesi: ni kweli kuwa wizara ya elimu haitaki kuzitambua cultural exchange program zitolewazo na organisation za huko U.S na Europe???

Kama ni kweli mbona bado tupo nyuma sana.. , nasikia hata intern hawataki vijana wakafanye intern nje ya nchi??????
 
Fanya kuzitupia hapa ukikutana nazo mkuu...ubarikiwe sana kwa moyo wako wa kutaka watu wako wataramke .
 
Ok. Daah naona ukiwa ya miezi 3 bado watahitaji uwe na kwenda n kurudi.

Vipi unaweza kua unafahamu nauli ya kufika DXB. Naona emirates nauli imechangamka hakuna mashirika mengine yanayofanyab safari kutoka bongo??
Yes
 
Fanya kuzitupia hapa ukikutana nazo mkuu...ubarikiwe sana kwa moyo wako wa kutaka watu wako wataramke .
Bila shaka tutakuwa tukiendelea kujuzana zaidi
 
Tetesi: ni kweli kuwa wizara ya elimu haitaki kuzitambua cultural exchange program zitolewazo na organisation za huko U.S na Europe???

Kama ni kweli mbona bado tupo nyuma sana.. , nasikia hata intern hawataki vijana wakafanye intern nje ya nchi??????
Inauma sana..weusi hatupendani.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom