Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

Mtu anahisi akitaarifu watu wengine yeye atakosa au ni sisi tu Tanzania na ubinafsi wetu??
 
Yani mpaka una pata degree ya kwanza alafu hujui jinsi ya kupata ya pili?!

Aisee wengi humu nawaonea huruma mno, nikitu kidogo mno ila watu wana teseka utazani assignment za kukodolezea...

Una jiuliza hizo assignments walikuwa wana fanyaje?

Kweli ng'ombe wa masikini hazai hahahaha... Tuendelee kujifunza bilq kuchoka
 
Mtu anahisi akitaarifu watu wengine yeye atakosa au ni sisi tu Tanzania na ubinafsi wetu??
Angalia walio view huu Uzi ni wengi mno, na wanao shughulika nao ni wengi kimya kimya... Ndio choyo ina anzia hapo...

Nime weka njia chache, za ubalozi na agencies mbalimbali... Huto ona MTU ana kuja kushare na wengine... Ana malizana nazo huko huko...

Atakuja hapa akiwa amekwama sehemu au kuuliza kama majibu yametoka, utazani tuliomba pamoja hahahahaaha
 
Hapo kwenye vyeti vya lugha ndio kipengele mkuu. Kufaulu kwake hadi upate ni kazi kweli kweli ..mengine yanaezekana kabisa
 
Hapo kwenye vyeti vya lugha ndio kipengele mkuu. Kufaulu kwake hadi upate ni kazi kweli kweli ..mengine yanaezekana kabisa
Hakuna jambo gumu, ni uvivu tu wa kuangaikia jambo lenyewe...

Kuna baadhi hawaitaji hayo mavitu mzee...
 
Kwa tunaotaka kusoma bachelor na age inasoma 35 scholarship tunapata?
 
Kwa tunaotaka kusoma bachelor na age inasoma 35 scholarship tunapata?

Jaribu bahati yako... Skolashipusi ni nyingi kiongozi, tukingoja mtu wa kukusogezea uta kesha...

Zipo nyingi sana na ndio msimu wake huu

Zime funguka
Za Korea
Za Japan
Za urusi
Za Australia
Za USA
Za UK
Za Taiwan
Za hong Kong

Zipo nyingi sana, kama utajifungia bila kuangaza macho dunia ina zungukaje na wewe uendeje, basi utakuwa umepishana na mengi unayo yatamani

6Was9
 
Shukrani mkuu
 
Thanks sana mkuu
 
Hakuna wano safirisha bidhaa, nje ya nchi??
kama Dubai, U.K etc??
 
Kwa tunaotaka kusoma bachelor na age inasoma 35 scholarship tunapata?
Usjilimit sana kwa umri mzee ,pambana sasa... kimbiza kimbiza utimize malengo yako fasta
 
Application za Diversity visa Lottery ya U.S / Green card tayari miefunguliwa..

Inahitajika uwe na vali Electronic PASSPORT /temporary psili uweze kuapply katika shindano hili!!
 
Application za Diversity visa Lottery ya U.S / Green card tayari miefunguliwa..

Inahitajika uwe na vali Electronic PASSPORT /temporary psili uweze kuapply katika shindano hili!!
Pia kuzingatia vigezo muhimu vya aina ya picha inayotakiwa yaaani passport size
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…