Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

long distance
Itabidi uanze na Dating site.. kama uko serious utafanikiwa , sio rahisi inahitaji uinvest muda sana napia uwe vizuri kwenye mazungumzo ya kuchat.. kutengeneza mada nzuri za kumfanya mlengwa wako kuwa interested..

Dating sites/app: Tinder, lovoo, kupid etc
 
Hapa Tanzania tuna watu kutoka mataifa mbali mbali wanaokuja kufanya kazi kama ma-expat..

Wanalipwa vizuri mishahara, accom&transp etc.

Kwa wabongo wenye sifa na vigezo wanaweza kujipima na ku apply hizi nafasi amabzo zinatolewa na serikali ya CANADA ..

" Express Entry is a simplified, fast and efficient immigration selection system offering permanent residence in 6-months to qualified skilled workers.

The Province of Quebec admits 50,000 immigrants to Canada each year"

Kupata work permit/permanent residents

Hii link itakuwezesha kujipima kama unakidhi vigezo /mchujo

Canada Immigration, Visa, Canadian Citizenship & Permanent Residence

images (3).jpeg
 
CC: SueIsmael

Nyingi bado dirisha liko wazi kwa wanaotaka kuanza mwisho wa mwaka huu au mwanzo wa mwaka ujao. Baadhi hizi hapa:

Canada: Scholarships for Non-Canadians

UK: Scholarships | Chevening

Sweden: https://studyinsweden.se/scholarships/#

Switzerland: Scholarships

EU EMJMD Catalogue

USA: Education & Culture | U.S. Embassy in Tanzania

Kwa wanaotafuta ufadhili wa masomo nchi nyingine:
1. Hakikisha unatafuta taarifa katika sehemu sahihi, maana matapeli ni wengi. Anza na tovuti za balozi za nchi husika, tovuti ya wizara ya nje, TCU, tovuti za vyuo husika, nk
2. Umahiri katika lugha ya kiingereza (kama ndiyo lugha ya kufundishia) ni muhimu sana.
3. Jitahidi kutafuta makundi au mtandao wa wanufaika wa ufadhili unaotafuta (alumni groups) kabla ya kuomba.
4. Hakikisha shahada/stashahada utakayosomea inatambulika na TCU kabla ya kusomea.

Kila la kheri!
Credit: CC: SueIsmael

THANKS
 
Hongera Mkuu kwa kuanzisha huu uzi.

Nitajitahidi kudondosha ninazokutana nazo. Kwa mfano, kwenye huu ukurasa unakupa link za fursa za masomo na tafiti katika nchi za Umoja wa Ulaya:

Hizi ni fursa zinazotolewa na Australia:
Scholarships to study in Australia

Kuna fursa nyingi sana, na inasikitisha sana jinsi watanzania wachache sana hutumia hizi fursa ukilinganisha na mataifa mengine.
 
Vizuri sana Mkuu tujitahidi ku share na ndugu na jamaa na tuwape moyo wenye wapo eligible ku apply...

Maana sisi wabongo kufuatilia hivi vitu tunaona ni kama mambo yasiyowezekana wakati mwingine .. tunaona hayapk kwa ajili yetu!
 
Hongera Mkuu kwa kuanzisha huu uzi.

Nitajitahidi kudondosha ninazokutana nazo. Kwa mfano, kwenye huu ukurasa unakupa link za fursa za masomo na tafiti katika nchi za Umoja wa Ulaya:

Hizi ni fursa zinazotolewa na Australia:
Scholarships to study in Australia

Kuna fursa nyingi sana, na inasikitisha sana jinsi watanzania wachache sana hutumia hizi fursa ukilinganisha na mataifa mengine.
Ni kweli kabisa tatizo sisi wa tz ujamaa ulishaathiri serikali yetu Hadi raia sio Sana kutaka kwenda huko nje ..

kingine ni lugha pia ni tatizo Sana, mfano yaani Hadi majina ya nchi tumetafasiri tusipate shida kutamka .. America - marekani.. Holland - uholanzi..sijui Nani aliyefanya hivi..
 
Pia kwa Diaspora mliopo nje tupe maujanaja jamani ni namna gani tunaweza kununua stocks za kamuni mbali mbali huko nje...!

Hakika nyinyi mtakuwa na taarifa kwa ukaribu na uhakika..

Karibuni...!
 
Wiki kadhaa zilizopita rais wa Kenya alikuwa U.K kaongea na moja ya waziri huko ...kuhusu masuala ya wafanyakazi sekta ya healthy care,

Sasa hivi wakenya wana chance kubwa ya kupata kazi za health care huko U.K kutokana na uhaba uliopo..
 
Hapa Tanzania tuna watu kutoka mataifa mbali mbali wanaokuja kufanya kazi kama ma-expat..

Wanalipwa vizuri mishahara, accom&transp etc.

Kwa wabongo wenye sifa na vigezo wanaweza kujipima na ku apply hizi nafasi amabzo zinatolewa na serikali ya CANADA ..

" Express Entry is a simplified, fast and efficient immigration selection system offering permanent residence in 6-months to qualified skilled workers.

The Province of Quebec admits 50,000 immigrants to Canada each year"

Kupata work permit/permanent residents

Hii link itakuwezesha kujipima kama unakidhi vigezo /mchujo

Canada Immigration, Visa, Canadian Citizenship & Permanent Residence

View attachment 1890125
Mie huu mji nataka kwenda kutembea tuu na kurudi

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom