Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Fursa bongo bado zipo nying wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vikwazo ni vingi,achana na hizo scholarship tafura hela hata Harvard utajilipia mwenyewe utasoma bila shida.vigezo ni kutokana na imasikini.Shida ya hizi scholarship kunakuwa na masharti sana na vigezo vyingi unakuta hatuna. So bora tuende kimeno meno tu siyo kwa kupitia scholarship
Kwa ulewa wangu hii ni system ya visa merits hapa ndio shida inapo anza kwa umbumbu wangu maana ili wakupe visa watemetengeneza system ya kukupa scores au marks kwa maana ikiwa wana shida na watu wa graphics design na hii ni currently seriously needing wata angalia chuo ulichosoma , level uliyofikia hapo chuoni, experience yako kwenye kazi na umahiri kisha wata angalia umri wako note wana taka kijana, sasa hapo kwa kila kipengele wanakupa score au marks sikumbuki vizuri ila nahisi kuanzia kitu 50% na kuendelea ndio wana consider hvo unaweza ukafika hata 70 % basi wana kupa visa wewe na familia yako yoteNimekupata vyema mkuu!!
Tupe uafafanuzi uelewa wako kuhusu canada express entry -
kwa mtu ambaye hana elimu ya juu wala experience ya miaka kadhaa ya kazi anaweza kufanikiwa???
Kama zipi Mkuu?Fursa bongo bado zipo nying wakuu
Mkuu hapa nilikosea ni hvi minimum requirements ni 67% out of 100 pia watakuuliza kuhusu kutumia lugha iwe English au french kama unataka ku apply nikupe address website yaoKwa ulewa wangu hii ni system ya visa merits hapa ndio shida inapo anza kwa umbumbu wangu maana ili wakupe visa watemetengeneza system ya kukupa scores au marks kwa maana ikiwa wana shida na watu wa graphics design na hii ni currently seriously needing wata angalia chuo ulichosoma , level uliyofikia hapo chuoni, experience yako kwenye kazi na umahiri kisha wata angalia umri wako note wana taka kijana, sasa hapo kwa kila kipengele wanakupa score au marks sikumbuki vizuri ila nahisi kuanzia kitu 50% na kuendelea ndio wana consider hvo unaweza ukafika hata 70 % basi wana kupa visa wewe na familia yako yote
Zipo dating sites/app ambazo unaweza kuchat kibish bila ya kulipia..Mkuu hapa kweli ulikosa bahati maana hapa kuna urahisi sana , mimi nimezijua wa kati wa kulipia sasa nilidhani usha jaribu kulipia kupitia credit card au visa card kwa haraka haraka syo hela nyingi ila hzo system za ulupiaji sasa ndio shida na sisi labda visa card na pia kwa utafiti wangu wageni wakija hapa bongo pia huwa wanatumia sna
Share hizo Fursa za hapa bongo mkuu ...!
Fursa si hizi zinatajwa kila siku humu wakuu ama iko haja ya kurudiarudia?Kama zipi Mkuu?
Wana fanya hivyo kupunguza jam, na kuna muda ni ubinafsi ulio pitiliza ambao msingi wake ni kuanzia katika koo, familia (undugu)Kwani i sisi Tz tunakwama? Ila wapo wa Tz wengi wanao apply kimya kimya mpaka wakose au wapate labda ndio watakupa mwongozo!!
Mzigo mzima upo hapaYes share tu hizo websites mkuu...
Huo ni ujinga wa kiwango cha lami, una punguza jam wakati end of the day unajikuta uko peke yako au mupo 2 kisha wa kenya wapo 200, na Nigeria 300 huku Uganda wapo 150. come on Tanzania huwezi kupunguza jam wakati wanaomba ni dunia nzima Huo ukichaa mkubwa kuwahi kutokea pia usisahau zile East European countries nazo zinaomba ktk Huo Huo mchakato , sasa wewe mtanzania utazuia jam gani ikiwa jam yako tu ya tazara bado ipo vile vile 😂😂😂😂😂 jokes guysWana fanya hivyo kupunguza jam, na kuna muda ni ubinafsi ulio pitiliza ambao msingi wake ni kuanzia katika koo, familia (undugu)
Umanamba ni kumsubiria mwanasiasa anaye tembelea V8 umpe kura tena kwa mara ya pili kisha aende bungeni aku tetee na yeye ana kutetea kwa kusema " graduate " uji ajiri . kumbuka thamani ya V8 ina anzia millions 150 , nina rafiki zangu kibao wapo home na degrees zao, Umanamba ni kuto kufikiria far syo kumfanyia kazi mzunguYaani tumefundisha vijana wetu hadi chuo, leo hii tuwahimize wakatafute fursa ughaibuni? yaani jitihada zote hizo ziishie kuwafaidisha mabeberu ambao wao hawataki kuzaa watoto zaidi ya kufuga mbwa.....vijana wawezeshwe kutumia fursa zilizopo nchini kujijenga wao, familia zao na taifa kiujumla....tuachane na wakenya wao walishajitoa kitambo kuwa manamba huko ughaibuni....
Nazani una elewa... Ndio maana hata walio fanikiwa kwenda nje (watanzania) iwe kusoma, kuoa au kuolewa, biashara etc hawawez kukupa ABC... Na sababu zina fahamika...Huo ni ujinga wa kiwango cha lami, una punguza jam wakati end of the day unajikuta uko peke yako au mupo 2 kisha wa kenya wapo 200, na Nigeria 300 huku Uganda wapo 150. come on Tanzania huwezi kupunguza jam wakati wanaomba ni dunia nzima Huo ukichaa mkubwa kuwahi kutokea pia usisahau zile East European countries nazo zinaomba ktk Huo Huo mchakato , sasa wewe mtanzania utazuia jam gani ikiwa jam yako tu ya tazara bado ipo vile vile 😂😂😂😂😂 jokes guys