Nilicho jifunza ktk mambo haya , mukiwa wengi ktk michakato hii basi mafanikio ni makubwa kuliko mkifanya wachache coz wanao omba ni kutoka nchi nyingi za Africa an Asia hvo tuna kumbana na challenge za nchi nyingi sasa ukiomba wewe kama wewe jua Tanzania ina pigwa bao vizuri tu na pia sis vijana wa Tanzania tumezidi kuwa wajinga tupo tayari kuufata au kuujua upuuzi tena kwa gharama kubwa kuliko kujua lenye faida au maslahi nalo iwe kwa sasa au mbeleni hapo ndipo gap linaanza, information ni kitu kikubwa na chenye nguvu sna sna, baada ya kupata information kinacho fata ni kufanyia kazi , tukiwa tuna tafuta useful information na tukiungana basi tuta tusua haraka sna
note ukitaka scholarship kwa wepesi sna basi chukua postgraduate na sio undergraduate pia omba vyuo mbali mbali ili ujiweke ktk position nzuri na usinga'ng'anie vyuo vinvyofundisha kwa lugha ya kiingereza tu maana huko competition ni kubwa sna mana kuna nchi kama kenya, Nigeria nk
Pia kufanya mitihani ya ilets ya lugha ya kiingereza
Note kwa yoyote ata kayefanikiwa kusoma CANADA basi yeye kutoboa ni dk sifuri tu 😂😂😂😂 how? , ni rahisi kubaki huko huko CANADA baada ya kumaliza masomo na kupewa resident permit ( work permit ) kuliko marekani au nchi nyingi za ulaya, pia Australia na new Zealand wanafanya kama canada kama sikosei