Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

Ubarikiwe sana Mkuu kwa ushauri.
 
Ubarikiwe sana uliyeanzisha huu uzi pamoja na wale wote mliochangia, wabongo wengi hatuna exposure ndio tabu inapoanzia.
Karibu sana mkuu, tunahitaji taarifa zaidi.. information is power!💪🏾
 
Scholarship postgraduate za japan zilipita kimya kimya.. wabongo walisha apply..
 
Vigezo vya scholatship za Phd huwa ni zipi mara nyingi, mwez wa kwanza niliomba scholarship ya Sida ambayo masomo yalikuwa aug. Siku kidhi vigezo sababu sikuwa nimepublish. Na wao walitak uwe n 2 papers ulizochapisha.
 
Hauwezi kupata resident permit bila ya kuapata visa na ili upate visa, itategenmea unaenda vipi kama mtalii, expert, kusoma au kutembelea ndugu etc.
Labda upate job offer /scholarship au Ndoa au kama unapesa za kwenda kujisomesha mkuu !
Mkuu unaweza kunieleza gharama zote za visa,nauli na michakato yote kwa ujumla hadi kufika Canada na kuanza kutafuta kazi kule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…