Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

Sisi darasa la saba tubakie kulima tu nyie nyiee
Hali ya maisha kwasasa information/taarifa zina nguvu ukizitumia vizuri kuliko hata degree , yes elimu ina nafasi yake ,

lakini sio njia pekee ya kutoboa...

hivyo basi nikushauri kama unafikiri labda kiwango chako cha elimu ni kidogo ndio maana unakosa fursa flani au hujafanikiwa kwenye maisha kwasababu hiyo...

Jibu jepesi ni kwamba utajifelisha mwenyewe kupitia mindset za dizaini hii! ...

Katika kusaka life usitafute visingizio
 
Wengine wanamaliza bachelor degree wanakaa zaidi ya miaka miwili hawana kazi /mishe /wala VOLUNTEER hawafanyi ...

naona ni vyema waka apply na scholarship au kusoma kzoi za kuwaongezea ujuzi pia kuliko kukaaa bila kazi no experience..... nothing!
 
Mwenye kujua information zozote kuhusu urusi , mfano! Ajira (parmanent or day work) au fursa mbali mbali huko atujulishe
 
Vip kuna nafas za scholarships kwa walionaliza form 4
Naomba kuuliza
Kwasababu haujamaliza "high school Diploma " itakuwa vigumu nafikiri, scholarship nyingi ni kuanzia level ya phd, Masters then bachelor degree
 
Mwenye kujua information zozote kuhusu urusi , mfano! Ajira (parmanent or day work) au fursa mbali mbali huko atujulishe
Tusubiri wadau waje kutujuza !
 
Wazee wa kujilipua...

Mchongo wa kwenda Canada huu...

Screenshot_20220106-192548_Brave.jpg

Screenshot_20220106-192624_Brave.jpg
Screenshot_20220106-192652_Brave.jpg
Screenshot_20220106-192711_Brave.jpg
Screenshot_20220106-192727_Brave.jpg
Screenshot_20220106-192745_Brave.jpg
 
Wazee wa kujilipua...

Mchongo wa kwenda Canada huu...

View attachment 2071010
View attachment 2071012View attachment 2071014View attachment 2071015View attachment 2071016View attachment 2071017

The AIDS 2022 Scholarship Programme is open to anyone working or volunteering in the area of HIV and who is at least 16 years old on 27 July 2022. You will be required to demonstrate that you will transfer the skills and knowledge acquired at the conference to the work you undertake in your own organization and community.

Priority will be given to:

Abstract presenters, workshop facilitators and organizers of Global Village and Youth Programme activities whose submission has been selected for the conference
Applicants from lower-income countries
Applicants who belong to key populations and people living with HIV
Young people and junior investigators below the age of 35
Applicants who did not previously receive a scholarship for an International AIDS Conference
 
You can request financial support for registration, travel support, accommodation, daily living allowance and/or virtual accessibility support, depending on the type of attendance applied for (in person or virtual). Please note that all of the support requested may not be granted. Full scholarships will be awarded only in a limited number of cases.
 
Hii ni njia moja wapo inayoweza kukusaidia kupata visa ya kwenda canada kwa urahisi

endapo ukikamiliasha kujza kwa uangalifu na kuomba scholarship hii , ambayo endapo ukiipata utafafhiliwa accommodation, tickets , chakula na n.k
 
Types of support
Applicants can choose whether to attend the conference in person or virtually. You can request financial support for registration, travel support, accommodation, daily living allowance and/or virtual accessibility support, depending on the type of attendance applied for (in person or virtual). The type of attendance does not have an impact on the likelihood of obtaining a scholarship.

Kuna gharama za kulipia, lakini ka.a walivyoesama unaweza kuomba msaada wa kifedha!
 
Nchi ni Canada, Montreal..

Deadline 01/31/22

Link ya kuapply

Back
Top Bottom