Fursa za Uwekezaji Tanzania-Mkoa wa Tabora

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Habari za wakati huu;
Mkoa wa Tabora ni mooa ulioko Karibi na Eneo la Magharibi mwa Tanzania.Ni mmoja katika ya Mikoa ya mwanzoni kabisa kukua.Ni mkoa wenye idadi kubwa sana ya watu ukiwa mkoa wa pili kwa idadi ya watu ukaichilia Mkoa wa Dar es Salaam.

Kutokana na Idadi hii ya watu Mkoa huu una fursa nyingi sana za kiuchumi na kibiashara ambazo ziaweza kusaidia katika Ujenzi wa uchumi wa Mkoa wenyewe na maeneo ya JIRANI.

Je ni shughuli gani za kiuchumi na kibiashara ambazo zinaweza kufanyika katika Mkoa huu.Karibu Tujadili zaidi.Iwapo wewe ni Mkazi wa Mkoa huu unaweza kuleta mawazo ambayo yatahamasisha zaidi kukua kwa mkoa huu kiuchumi na kibiashara.

Karibu Tujadili
 
Next time jitajidi kuweka heading vizuri walau ifanane na thread.
Basi minikajua umekuja na orodha ya fursa za mkoa wa Tabora kama:-
1. Kilimo cha tumbaku
2. Biashara ya asali
3. Biashara ya mbao
Nakadhalika....
 
Ni mkoa wenye eneo kubwa ukilinganisha na idadi ya watu waliopo, watu wametapakaa kiholela hivyo faida ya wingi wa watu haipo au haiwezi kuonekana kirahisi linapokuja suala la uwekezaji. Upande wa pili, makao makuu ya mkoa (yaani Tabora mjini) pana watu wachache.

Kiasili wenyeji wa watu wa Tabora (wanyamwezi) bado ni washamba (ni pacha ya wasukuma), uwekezaji wowote wa kisasa au kijanja haufai kwao, pale ni kuwapelekea chochote cha kiulimbukeni na watakichangamkia mnoo.
 
Fursa pekee pale labda uganga wa jadi!
 
Hizi ni fursa rahisi na rafiki mnoo za kuweza kutoboa Tabora Mjini.
1. Fungua duka kubwa la dawa (Big Pharmacy). Maana hakuna hilo duka,
Pale Tabora mjini, yaliyopo ni maduka madogo madogo na wagonjwa wengi wanatumwa kwenda Mwanza, Dodoma, Dar au Kilimanjaro sometimes kufuata kununua dawa tu.

2. Fungua kliniki kubwa ya kisasa ya kibingwa (Polyclinic).

3. Wekeza kwenye huduma za kisasa za maharusi na sherehe. (maMC badala ya kujazana Dar tu na kushtumiana kurogana, bora wajanja wangetua Tabora mjini). Hapo ni mwendo wa kukodisha magauni ya harusi, kupamba, timu ya tarumbeta nadhifu, video shouting za kueleweka nk.

4. Fungua printing company matata, unakula tender zote za kuchapisha vitu mbalimbali.
 
Asante sana kwa kuutendea Huu uzi haki.Nimeona watu wengi wameshindwa kuelewa mantiki yangu.Wewe ni Great Thinker Ndugu yangu.
 
Nenda Tabora mjini fanya utafiti ni wilaya gani wanalima kwa wingi zao la karanga. Ukipata jibu nenda hiyo wilaya ndani ndani huko chukua heka kumi lima hilo zao, karanga kule zinakubali sana.
 
Habari za wakati huu;
Mkoa wa Tabora ni mooa ulioko Karibi na Eneo la Magharibi mwa Tanzania.Ni mmoja katika ya Mikoa ya mwanzoni kabisa kukua.Ni mkoa wenye idadi kubwa sana ya watu ukiwa mkoa wa pili kwa idadi ya watu ukaichilia Mkoa wa Dar es Salaam.

Kutokana na Idadi hii ya watu Mkoa huu una fursa nyingi sana za kiuchumi na kibiashara ambazo ziaweza kusaidia katika Ujenzi wa uchumi wa Mkoa wenyewe na maeneo ya JIRANI.

Je ni shughuli gani za kiuchumi na kibiashara ambazo zinaweza kufanyika katika Mkoa huu.Karibu Tujadili zaidi.Iwapo wewe ni Mkazi wa Mkoa huu unaweza kuleta mawazo ambayo yatahamasisha zaidi kukua kwa mkoa huu kiuchumi na kibiashara.

Karibu Tujadili
Unaulizaje maswali ya aina ya fursa,, wakati umeanza kusema zipo fursa. Zitaje kwanza.
 
Back
Top Bottom