Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo familia ya Hamisa Mobetto ilihitaji kama Mahari ya kumuoza binti yao.
Tukio hilo limefanyika katika viwanja vya Golf Jijini Dar Es Salaam na ndoa tayari imepangwa kufanyika Kesho. Februari 19 ndio siku ya sherehe ya ndoa yao.
Soma: Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30