Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto

Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto

Mkuu mbona huwa huwaombei heri kabisa wanawake, una issue gani binafsi na hawa mama zetu?
Nawaombea heri ndio maana nawachana kwa mienendo yao isiyofaa. Ningekua siwatakii heri ningekaa kimya au kuwapongeza kwa mabaya yao.

Mfano mwanamke type ya Hamisa Mobeto single mother mwenye watoto watatu kila mtoto ana baba ake mwanamke kama huyu ni red flag.

Unapompongeza kwa iyo life style yake maana yake haumtakii heri yeye pamoja na kizazi kijacho especially mabinti madogo wanaomwangalia kama kioo maana wataona kuzaa zaa ovyo na kila mwanaume ni sawa tu.

Lakini ukimchana live maana yake unamtakia heri yeye na kizazi kijacho sababu atapata somo anachofanya sionsawa hivyo hata akija kuwa nanmtoto wa kike atampa malezi mema ili asipite njia kama yake vile vile mabinti wadogo watapata somo kwamba huyu sio mtu sahihi wa kumchukulia kama role model.

Anaekuambia ukweli ndie anakutakia mema kuliko anaekupa maneno matamu tamu ili ubaki kwenye comfortable zone yako.
 
Kama kuna watu wanahonga range kwa huyo single mother, ni nini kinakufanya uamini hamisa kuolewa na aziz ki ni bahati.

Kwangu mimi naona kawaida tu, zaidi ya hizi maneno za mitandaoni. Single mothers wanaolewa hata wakivuka 40 huku mitaani
Well said mkuu watu wasichukulie opinion zao kama ndio fact, kila mtu ana mtazamo wake. Ndoa yake haiwezi kudumu au kutodumu kwa sababu ni single mum.
 
Hawa watoto kawazaa na dada zake au shangazi zake?
A woman is a gatekeeper of sex and fertility, nothing can happen without a woman's consent and to know if a man is serious is by marrying her or atleast visitting her perents to introduce himself official. Any woman accept a man to impregnant her without that happen she is an idiot and she deserve whatever shit comes with consequencies of her poor decision
 
Arerereeeeeee, harusi tunayo na tunatamba nayo. Waja na husda zenu, jua halizibwi kwa ungo. Ma gentlemen hawanaga makelele, wanaoa TU kàma hivi 😂😁😁😁😁
 
Tukio hilo limefanyika katika viwanja vya Golf Jijini Dar Es Salaam na ndoa tayari imepangwa kufanyika Kesho. Februari 19 ndio siku ya sherehe ya ndoa yao.
Na hapo tunaambiwa sherehe itaongozwa na ustaadh hatujaonja, je ingekuwa Katoliki wanakoogelea wangeandikaje
 
Back
Top Bottom