Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto

Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto

hamisa mobeto ni single maza watoto 3 kila mmoja na baba yake

anaolewa na rich kid azziz k mwenye 78m salary

kwenye maisha kuna kitu kinatwa bahati

Kama kuna watu wanahonga range kwa huyo single mother, ni nini kinakufanya uamini hamisa kuolewa na aziz ki ni bahati.

Kwangu mimi naona kawaida tu, zaidi ya hizi maneno za mitandaoni. Single mothers wanaolewa hata wakivuka 40 huku mitaani
 
View attachment 3237151
Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo familia ya Hamisa Mobetto ilihitaji kama Mahari ya kumuoza binti yao.
View attachment 3237153
Tukio hilo limefanyika katika viwanja vya Golf Jijini Dar Es Salaam na ndoa tayari imepangwa kufanyika Kesho. Februari 19 ndio siku ya sherehe ya ndoa yao.
View attachment 3237152

Soma: Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30

Kila heri kwao
 
Kama kuna watu wanahonga range kwa huyo single mother, ni nini kinakufanya uamini hamisa kuolewa na aziz ki ni bahati.

Kwangu mimi naona kawaida tu, zaidi ya hizi maneno za mitandaoni. Single mothers wanaolewa hata wakivuka 40 huku mitaani
Kikubwa jamaa akitoka kwenye peak ndoa iendelee... the guy is young and foolish, while bi dada is older and strategist, so kheri kwao....

And the to me the only beautiful part about this wedding, wanae wamepata present father figure, they will turn out amazing kama hii ndoa ikidumu kwa uzuri
 
Back
Top Bottom