Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Nasikia kwa magembe ukichelewa hupati pa kukaaHamissa Mobetto sio poa
View attachment 3237151
Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo familia ya Hamisa Mobetto ilihitaji kama Mahari ya kumuoza binti yao.
View attachment 3237153
Tukio hilo limefanyika katika viwanja vya Golf Jijini Dar Es Salaam na ndoa tayari imepangwa kufanyika Kesho. Februari 19 ndio siku ya sherehe ya ndoa yao.
View attachment 3237152
Soma: Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
78m salary kwa uchumi gani wa timu zetu?hamisa mobeto ni single maza watoto 3 kila mmoja na baba yake
anaolewa na rich kid azziz k mwenye 78m salary
kwenye maisha kuna kitu kinatwa bahati
Anafikiri wakina vunjabei waliopiga na kusepa ni wajingaHuyu jamaa atakuja ajute maisha yake yote.
😁Wakadumu, hongera zao sana
Ya Ndikumana na UwoyaAnafikiri wakina vunjabei waliopiga na kusepa ni wajinga
Duh me muislamu huko mnaenda nyieNasikia kwa magembe ukichelewa hupati pa kukaa