Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto

Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto

View attachment 3237151
Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo familia ya Hamisa Mobetto ilihitaji kama Mahari ya kumuoza binti yao.
View attachment 3237153
Tukio hilo limefanyika katika viwanja vya Golf Jijini Dar Es Salaam na ndoa tayari imepangwa kufanyika Kesho. Februari 19 ndio siku ya sherehe ya ndoa yao.
View attachment 3237152

Soma: Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
itabidi akamzalishe chapchap, japo bibi atakuwa anamzidi akili kwenye mambo ya uzazi dogo atakuwa na wakati mgumu
 
Watu wanauliza Hamisa kapiga pigaje hapo?

Anafanikiwa kwenye Kila jambo analofanya.

Biashara zake zinaingiza mamilioni.

Ana invest kwenye projects za mamilioni.
Hadi Rais anamfahamu personally.

Nchi nzima ina mjua na kumtambua.

Watu wengi Wana mpenda na kumu admire?


Yote tisa kumi, kiwango cha confidence aliyo nayo kwenye maisha yake ya kawaida hasa maisha ya mapenzi.

Alizaa na Majey wa Efm, Waka break up Majey akamuoa Lulu.

Hamisa hakutetereka aka move on na maisha yake. ( Hapa kwa mdada mwingine angeweza kuwa hata kichaa au kujiua au at least ku go down to the frequency of " Being defeated in life"


Baadae akaingia kwenye mahusiano na Diamond akazaa nae mtoto. Diamond akamkataa mtoto wake hadharani blah blah blah.

Hamisa hakutetereka wala hakuonekana kwa Mwamposa. Aka move on na maisha yake.

Aka concentrate na biashara zake na projects zake. Mara tukasikia anatoka na Fredy Vunjabei . Mara Fredy Vunja Bei akaanza kutoka na Jokate, Hamisa aka break up na Fredy Vunjabei.

( Angekuwa Abigail Chams mtoto wa Ems angekunywa sumu walahi 🤣🤣🤣)



Kama kawaida Hamisa hakutetereka. Then tukasikia anatoka na Rick Ross . Then tukasikia Rick Ross anataka kumuoa kabisa. Marekani yote ikamjua Hamisa hadi 50 aka mpost anasema

" Rick Ross mjanja kaamua kwenda kuoa Africa kwa sababu anaogopa drama za beeches wa kimarekani"

50 akaongeza " She is beautiful though"

Then Waka break up na Rozay. Still Hamisa hakukata tamaa.

To cut story short Leo Hamisa yupo kwenye ndoa na Aziz Ki now.

Am so happy for them. Ndoa ni jambo lenye heri na baraka kutoka kwa Mungu. Plus mwisho wa mwanamke wa kiafrika huwaga ni kuolewa.

Kama sijasema Hamisa amepiga pigaje hapo Wacha nikutoe wenge wewe unaedhani Hamisa kafuata hela kwa Aziz Ki.

Hamisa Mobetto has more money than Aziz Ki. Hamisa kafuata mapenzi na heshima . Anataka kupata heshima ya mke wa mtu.




Haya sasa twende kazi: HAMISA MOBETTO AMEPIGA PIGAJE HAPO? ( KWANINI ANAFANIKIWA KWENYE MAISHA YAKE NA MAMBO YAKE LICHA YA VIKWAZO?,)


Jibu hili hapa 👇👇👇👇👇

Because she has connected herself to the higher frequency. She operates in the frequency of the UNDEFEATED .

She operates in the very higher frequency ndio maana unaona matokeo kwenye maisha yake yanaiuliza dunia maswali mengi yasiyo na majibu.


When you connect yourself to the higher frequency you gain the power over the spiritual and natural laws that govern the universe.


When you reach at this level , you can manipulate the universe and everything that lives within it.

Kwa wanao jiuliza kwanini Hamisa anakuwa na wanaume wenye majina makubwa na uwezo wa kifedha?

Je anawafuata au wao ndio wanamfuata yeye ?.

Jibu ni wao ndio wanamfuata yeye. Kwanini?

Kwa sababu she operates in higher frequency.

Siku zote dunia itakukutanisha na watu wanao vibrate in the same frequency with you.

Kama una nyota ya " Mafi", basi hata ukiwa mjini unatembea , mgeni aliebanwa na Mafi akikuona atakuuliza " Bro samahani eti wapi Kuna choo cha kulipia hapa ?" .

Yote ni kwa sababu hata dunia inajua una operates kwenye frequency ya " Mafi "


Una nyota ya kimasikini hata vitu utakavyo kutana navyo vitakuwa vya kimasikini masikini.

Wakati alafjiri unaenda mjini mtu wa kwanza kukutana nae atakua anatafuta sh mia 5 ya sarafu aliidondosha Jana usiku so leo amedamka alfajiri kuitafuta. Na ukifika mjini utakutana na jamaa kadondosha kiswaswadu kwenye ile mifereji ya pembeni ya Barbara anahangaika kukitafuta.


Kama una nyota ya hela, asubuhi wakati unaenda kumtumia milioni mama ako kwa wakala utakutana na jamaa anauliza " Aisee naweza kutoa milioni 4 hapo?" Na wakala atamwambia Yes unaweza. Ukifika benki kuweka hela kwenye foleni atakuja jamaa na begi ndani lina milioni mia3 atakuuliza vipi kaka hivi ofisi ya meneja ipo wapi nataka kwenda strong room Moja kwa Moja".


Mind you Kuna tofuati kubwa sana kati ya kupata connection na kuwa connected ( To connect yourself)


Connection haitafutwi ila wewe mwenyewe ndio una jiunganisha. ( U connect yourself)

You don't look for money. But you connect yourself to the frequency of getting money ( waswahili mnasema hela inategwa haitafutwi)

Mwanaume hautafuti mke ila unajiconnect yourself to the frequency of being a " husband" ( You don't have to be a man who is looking for women but you have to be a man that women are looking for) ( Hupaswi kuwa mwanaume anaetafuta wanawake ila unapaswa kuwa mwanaume ambae wanawake wanatafuta kuwa nae) Ukiweza Hilo basi tayari unakuwa ume jiconnect kwenye hiyo frequency and women will come to you in abundance.




So teach your children how to connect themselves to any kind of frequency that they want.


Kwa mfano kama unataka kupendwa hutakiwi kutafuta watu wa kukupenda ila unatakiwa kujiconnect na frequency ya kupendwa. And one wa of doing that is for you to love yourself.

Kama unataka watu wakupende jipende kwanza wewe. Hata Yesu alisema " Mpende jirani yako kama unavyo jipenda wewe mwenyewe" Ndio maana watu wanao vaa mavazi mazuri ya gharama huwa Wana shobokewa sana na mademu kwa sababu wao wenyewe wameonyesha kwamba wanajipenda. Ukionyesha unajipenda unakuwa ume prove kwa watu kwamba una uwezo wa kumpenda mtu mwingine kwa kiwango kinacho fanana na unavyo jipenda wewe.


Kusema sijui eti ukimpeleka shule ya Ems au private ndio atapata connection ni kuwaza kama mtu mjinga ambae hajui anacho kifanya kwa sababu connection haitafutwi.

Connection ipo ndani yako. Kilichopo ndani yako ndio kitakacho kuletea connection.


Kwa bahati mbaya sana shule za mtaala wa Necta hazifundishi kutoa kilichopo ndani yako, ila zinakupa kilichopo nje yako ambacho mwisho wa siku kinaenda kuua kilichomo ndani yako.

Ni shule za mtaala wa Cambridge na IB pekee ndio zina uwezo wa kutoa kilichopo ndani ya mtu kukileta nje katikq ulimwengu wa nyama. Hizi ni shule za kulipia kuanzia dola elfu 30 kwa mwaka. Hizo ndio za kupekeka watoto wako na sio hizi za Ems.



WANAO SEMA ETI HAMISA ANATUMIA PAPUCHI YAKE KUPATA WANAUME WENYE MAJINA NA KIPATO, UJUMBE WENU HUU HAPA CHINI👇👇👇👇

Kabla sija kupa ujumbe huo, Wacha nikuulize swali Moja: Anatumia papuchi yake au anatumia papuchi yako?

Haya ujumbe huu hapa:👇👇👇👇


Anacho kifanya Hamisa ni kama kile alicho kifanya Hawa pale bustanini au alichokuwa anakifanya Cleopatra kwa watu kama Marc Antony etc.

Kinaitwa " Feminine Manipulation".

Feminine manipulation is when a woman use her feminine charms to manipulate men in order to get what she want in her life . ( Every woman do this tofuati ni kwamba wakati wengine uwezo wao ni mdogo, yeye Hamisa na wanawake wengine kama yeye uwezo wao wa kimanipulate upo juu)


Hawa baada ya kuambiwa na shetani kwamba akifanikiwa kumshawishi Adam wakala tunda la mti wa katikati watakuwa kama Mungu alitumia uanamke wake kum manipulate Adam hadi akakubali kula tunda la mti ule licha ya katazo kali la Mungu.


Cleopatra alitumia uzuri wake kuwa manipulate viongozi wa nchi mbalimbali ili kuuimarisha utawala wake.

Queen of Sheba alitumia uzuri wake kummanipulate King Suleiman , lengo la Queen Sheba lilikuwa kupata sanduku la agano ambalo lilifanikiwa.


Deilah alimmanipulate Samson.



So kwanini Hamisa kuwa manipulate wanaume anaokuwa nao kimahusiano ionekane kitu cha ajabu?


WANAO SEMA HAMISA " MAYAYA" KWA SABABU ETI AMEZAA NA WANAUME TOFUATI?


He hoja ya kitoto kweli. Ulitaka watoto wasizaliwe? Ulitaka atoe mimba?


Mnamuita MAYAYA kwa sababu mweusi. Angekuwa mzungu ingeonekana sio MAYAYA? Angeonekana ana misimamo asiye kubali kuyumbishwa


What about Kim Kardashian?

What about Jenniffer Lopez anae badilisha wanaume Kila baada ya miaka miwili?

Halafu if we go down to that level then unapomuita Hamisa MAYAYA jua unamtukana mama ako mzazi. Why and how? Jibu hili hapa?👇👇👇👇👇


Mayaya ni nani?

Mayaya ni mwanamke yoyote yule ambae hadi wazazi wake wanamjua mwanaume wake na wanajua kabisa binti yao Kila siku anapigwa mashine.

Mayaya huyo hupewa hadi cheti cha umayaya kwa jina la cheti cha ndoa .


Mwanamke ambae sio mayaya wazazi wake hasa baba ake hawezi kumjua mwanaume wake wala hawezi kujua kwamba binti yake anafanywa.

Atakuwa anaenda kwa boy wake kuliwa kimya kimya akifika home anajikausha., kwa sababu anamuheshimu sana baba ake hataki baba ake ajue kama binti yake anafanya michezo hiyo.

Lakini huyo ambae hadi mwanaume wake anakuja kujtambulisha kwa baba ake aisee hivi Kuna kiwango cha juu cha umayaya kama hicho?

Mantiki ya mwanaume anaekuja kujitambulisha kwa baba wa binti tafsiri yake ni kwamba anakuja kumwambia baba wa binti, " Aisee we Mzee Mimi ninaomba unipe ruhusu ya kuwa namkaza binti yako kila siku". Tafsiri zingine ni blah blah .

Hamisa kafuata mapenzi. Sisi watu wa mazoezi wanawake wanatupenda sana.

Mimi huwa natembea kwa miguu kutoka Tegeta hadi Kariakoo Kila siku. Saa ya kurudi ndio napanda gari. Na nikitaka kwenda kijijini kwetu chanika natembea kwa miguu kutoka Tegeta hadi chanika. Dushe langu lina misuli minene migumu kama nondo. Demu wako akinipa lazima akuache.



MCHANGO WA SHULE ZA KAYUMBA KWENYE MAISHA YA HAMISA ????


Ni mkubwa sana. How and why? 👇👇👇


Kwenye shule za Kayumba Kuna watoto wengi. Watoto hujifunza kuhusu watu na maisha halisi kupitia watoto wenzao zaidi kuliko kupitia Yale wanayo fundishwa shuleni.

Kwenye shule za Kayumba Kuna wanafunzi wengi wenye sifa na tabia tofuati tofuati. Jambo hili humpa mtoto fursa ya kujifunza vitu vingi kwa wakati mmoja..


Darasa kwa wanafunzi wa kiafrika lazima liwe na watu wafuatao watatu watatu.


1. Handsome wa darasa: Number 1,2, na 3.


2. Mrembo wa darasa ; Number 1, 2 na 3.


3. Kipanga wa darasa = 1,2,3

4. Kilaza wa darasa = 1,23.

5. White wa darasa mvulana = 1,2,3.

6..White wa darasa msichana = 1,2,3.

7. Black wa darasa mvulana = 1,2,3.
8. Mtoro wa darasa
9. Tolu wa darasa mvulana......1
10. Tolu wa darasa msichana.....1

11. Mfupi wa darasa msichana ......3
12........ Mvulana ...................................3.

13. Mchekeshaji wa darasa
14. Muongo wa darasa

15. Bishoo wa darasa

16. Sista duh wa darasa

17. Mchekeshaji wa darasa

18. Msafi wa darasa mvulana

19. Msafi wa darasa msichana

20. Mbabe wa darasa

21. Anae kaa mbali na shule

22. Anae kaa karibu na shule.

23. Mtoto wa pasta

24. Mtoto wa shekhe.

25. Mgonjwa ( huyu anaumwaga hatakiwi kupigwa etc)

26. Mchoraji.

27. Msanii wa muziki wa darasa.

28. Kiherehere wa darasa.

29. Mchelewaji wa darasa.

30. Watu ambao wapo wapo.

31. Wasongo na wasio wasongo.

32. Yanga Lia Lia

33. Simba lia Lia

34. Watu wa mpira nakadhalika

Etc etc .

Mtoto hujifunza mengi sana kupitia kundi hilia watu sio una mpeleka shule ina wanafunzi wanane darasa Moja.


" Someni kwa Furaha by Shaaban Roberts"


Haya sasa twende kazi......

Thanks me later 🙏🙏🙏


Making Kayumba Schools Great Again Campaign ( MAKAGA Campaign)
Igweeeeeee!! 😍😍
Umemwaga madini tupu.!!
 
View attachment 3237151
Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo familia ya Hamisa Mobetto ilihitaji kama Mahari ya kumuoza binti yao.
View attachment 3237153
Tukio hilo limefanyika katika viwanja vya Golf Jijini Dar Es Salaam na ndoa tayari imepangwa kufanyika Kesho. Februari 19 ndio siku ya sherehe ya ndoa yao.
View attachment 3237152

Soma: Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
Ng'ombe wa mahali wanakuwa hivyo?
 
View attachment 3237151
Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo familia ya Hamisa Mobetto ilihitaji kama Mahari ya kumuoza binti yao.
View attachment 3237153
Tukio hilo limefanyika katika viwanja vya Golf Jijini Dar Es Salaam na ndoa tayari imepangwa kufanyika Kesho. Februari 19 ndio siku ya sherehe ya ndoa yao.
View attachment 3237152

Soma: Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
Golf Club ya Dar ndio iko kama jangwa hivyo full mivumbi😁, si bora wangefanyia uwanja wa taifa mule
 
Hii ndoa ikifila 14 Feb 2026 utakuwq ni MUUJIZA...

.Gold digger amekutana na Gari ya Mshahara ..
Huyo Mbugila wa Kuitwa Azizi Ki inawezekana akakutana na yaliomfika simp wa karne ya sasa McPilipili 🤣 kabla ya Mama Samia kuachia madaraka ngwe ijayo.

Atabakishiwa kende tu😀 huku mwanamke akiwa kashajengewa apartment za kutosha za kuchukua kodi maeneo muhimu mjini DSM.
 
Aziz Ki atakuja kujua kwanini huyo Hamisa aliachwa na wanaume wengi na wenye fedha na kumzalisha tu baada ya mwaka hivi, sasa hivi yuko katika ulevi wa mapenzi, subiri ulevi wa mapenzi uishe..!!
Atapoanza kwenda kugongwa Dubai kwa madau ya million 30/30 yale Mbukinabe atajua hajui. Malaya mpenda pesa hafugwagi ndani na huwa haridhiki.
 
Back
Top Bottom