Wamefuta ngapi?Kabisaa hiyo ndio dawa. Futa leseni zao ili washike adabu. Madereva wapo wengi mitaani.
Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
Dawa ya tatizo sii kulikimbia kwa kutumika mabavu,ila akili busara na kurekebisha dosari,zingine za kutengeneza kulinyonya Tabaka Fulani,Mimi kwa mtazamo yako na wanaofanana na wewe ndiyo mnaotuharibia taifa letu.Wanafanana akili.
Serekali ingekuwa inajali usalama, madereva wa serekali wangekuwa wanaendesha vibaya vile hao majizi wakiwa wamepakia?Nakusudia kukwambia madereva wanakata tawi ulilokalia hata wewe. wakemee kabla hawajakuvunja mgongo hata wewe sio katambi tu. Haijulikani ni dereva wa gari gani atapata ajari wapi lini abiria wakiwa nani. Anaweza kuwa mama yako yumo kwenye basi hilo lililomgonga giri likapinduka. Nyashu!!
Nilikwambia jana kuwa 98% ya mabasi ni mikopo, wanadaiwa na mabenki hawazi kugoma hawa. Sikliza hii hadi mwisho, mm siropoki kama weweSerekali ingekuwa inajali usalama, madereva wa serekali wangekuwa wanaendesha vibaya vile hao majizi wakiwa wamepakia?
Nilikwambia jana kuwa 98% ya mabasi ni mikopo, wanadaiwa na mabenki hawazi kugoma hawa. Sikliza hii hadi mwisho, mm siropoki kama wewe
View: https://www.youtube.com/live/uTxCw4TOq4k?si=q-t6hoDkaob5GbYa
Mgomo umeisha wenyewe, mabenki wanataka hela zao tajiri hataki ujinga. Kazi ni kuwasaka waliompandisha kombe juu ya mbuyu.Mwigulu ndio mmiliki wa mabus ya Esther Luxury, na hayo mabus ni hela zetu wanazotuibia. Mkopo kwake wa nini?
Nilijua tu wataishia kuomba radhi wao, adhabu yao iko palepaleWamefuta ngapi?
Madereva hawawezi kuzuia sheria ya kuzuia ajali isitungwe wala kutekelezwa. Shida ni pale traffic polisi wanapotumia kila nia njema kuwa fursa kwao. Ukweli kabisa polisi wanakera sana, hata hivyo madereva hawataki kulipa 30,000 ya makosa yao halali badala yake wanatoa rushwa ya fedha kidogo kwa makosa yao. Fedha ambayo haifiki serikaliniSerekali ingekuwa inajali usalama, madereva wa serekali wangekuwa wanaendesha vibaya vile hao majizi wakiwa wamepakia?