Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Kwahiyo ukifuta leseni zao utaweka gari zako!Ile ni public transport, wamekiuka mashariti ya vibali vyao vya njia na huduma.
Kwahiyo ukifuta leseni zao utaweka gari zako!Ile ni public transport, wamekiuka mashariti ya vibali vyao vya njia na huduma.
Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
Sasa wakigoma kama hivyo nani anaumia zaidi kuliko mwingine? Wanaopanda hayo mabasi sio wanaCCM tu wala ACT na wala sio dawa ya kuishinda CCM kwenye uchaguzi 2030. Ajali zinapotokea barabarani hazitenganishi wana chadema na wanaCCM. kama dawa zikikosekana hospitali tunaathilika wote bila kujali itikadi za vyama. Tuache cheap politics za kuonyesha tuko wajinga kiasi gani, maana CCM haianguki kwa njia hiyo. Wakati wa Nyerere nchi ilikosaga hadi sabuni ya kufulia lakini waliotaka kutumia sababu hiyo kumuondoa walishindwa, sembuse sasa tz tuna umeme kila kijiji na SGR?Mnapitisha sheria za kipuuzi kwa hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura, na mnadhani watu wataendelea kuwa makondoo tu.
Lawama zilikuwepo tangu awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere, wamuita majina mengi kama haambiliki kwa misimamo yake iliyowavuruga mapandiki, vibaka na makuwadi. Wakati wa Mzee Mwinyi walikuwepo pia hadi wakawa wanamtukana na kumchora na kumwambia anapotezwa na mkewe Siti. Wakati wa Mkapa pia walipiga kelele sana wakimwambia mkewe mama Mkapa anatutoa kapa, ni mwizi. Kauza na kubinafsisha kila kitu hali mbaya mifukoni. Wakati wa JK ndiyo usiseme kabisa. Walimuita Vasco de Dagama. Wakati ya JPM ndio usipime kabisa wakimchora na kumkejeli.Mnapitisha sheria za kipuuzi kwa hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura, na mnadhani watu wataendelea kuwa makondoo tu.
Aseeh basi hii ni hatari sanaNdiyo manake,wanatumwa na wakubwa zao
Mbona hilo linajulikana
Ova
Una kichwa mgando sana, ni wapi kwenye hiyo hoja imegusa uchaguzi? Na hata kama ni uchaguzi hiyo ccm inategemea kura? Unaleta story za Nyerere unadhani hiki ni kizazi kilicho usingizini kama enzi hizo? Nimekuambia hao wapuuzi wa ccm huko kwenye bunge kibogoyo ndio wanapitolisha hizo sheria za kipuuzi, matokeo yake ni usumbufu kwa umma wote.Sasa wakigoma kama hivyo nani anaumia zaidi kuliko mwingine? Wanaopanda hayo mabasi sio wanaCCM tu wala ACT na wala sio dawa ya kuishinda CCM kwenye uchaguzi 2030. Ajali zinapotokea barabarani hazitenganishi wana chadema na wanaCCM. kama dawa zikikosekana hospitali tunaathilika wote bila kujali itikadi za vyama. Tuache cheap politics za kuonyesha tuko wajinga kiasi gani, maana CCM haianguki kwa njia hiyo. Wakati wa Nyerere nchi ilikosaga hadi sabuni ya kufulia lakini waliotaka kutumia sababu hiyo kumuondoa walishindwa, sembuse sasa tz tuna umeme kila kijiji na SGR?
Hoja yako ni ipi hapa dogo kuhusiana na mgomo wa madereva, maana naona unaandika chochote kinachokujia kichwani. Hao uliowataja waliua watu kwa maelfu ili wakae madaraka kwa shuruti?Lawama zilikuwepo tangu awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere, wamuita majina mengi kama haambiliki kwa misimamo yake iliyowavuruga mapandiki, vibaka na makuwadi. Wakati wa Mzee Mwinyi walikuwepo pia hadi wakawa wanamtukana na kumchora na kumwambia anapotezwa na mkewe Siti. Wakati wa Mkapa pia walipiga kelele sana wakimwambia mkewe mama Mkapa anatutoa kapa, ni mwizi. Kauza na kubinafsisha kila kitu hali mbaya mifukoni. Wakati wa JK ndiyo usiseme kabisa. Walimuita Vasco de Dagama. Wakati ya JPM ndio usipime kabisa wakimchora na kumkejeli.
Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
Nani amempandisha kobe juu ya mgunga? Kama serikali ingekuwa inafikiria kizembe kama wewe unavyofikiria ingeshaanguka kitambo sana. Always Think negatively before you think positively and not the other way round. Yaani kama una mashaka kama ulifunga zip baada ya kumaliza kuzini basi ikague kabla ya hujafika nyumbani kwa mkeo. Do not assume.Una kichwa mgando sana, ni wapi kwenye hiyo hoja imegusa uchaguzi? Na hata kama ni uchaguzi hiyo ccm inategemea kura? Unaleta story za Nyerere unadhani hiki ni kizazi kilicho usingizini kama enzi hizo? Nimekuambia hao wapuuzi wa ccm huko kwenye bunge kibogoyo ndio wanapitolisha hizo sheria za kipuuzi, matokeo yake ni usumbufu kwa umma wote.
Na kama ni ccm kutoka hilo halina mjadala. Najua kilichokutisha kwenye huo mgomo, unajua hii ni serekali iliyoko madarakani bila ridhaa ya umma, hivyo migomo kama hiyo inaongea chuki zaidi kwa hiyo serekali ya majizi.
Nakusudia kukwambia madereva wanakata tawi ulilokalia hata wewe. wakemee kabla hawajakuvunja mgongo hata wewe sio katambi tu. Haijulikani ni dereva wa gari gani atapata ajari wapi lini abiria wakiwa nani. Anaweza kuwa mama yako yumo kwenye basi hilo lililomgonga giri likapinduka. Nyashu!!Hoja yako ni ipi hapa dogo kuhusiana na mgomo wa madereva, maana naona unaandika chochote kinachokujia kichwani. Hao uliowataja waliua watu kwa maelfu ili wakae madaraka kwa shuruti?
Kwani CCM ipo mbinguni?Mkutano mkuu ndio wenye turufu.
Kaka nimekutana na dereva mmoja aliyefuata mkumbo wa kugoma tayari yuko hoi kwelikweli, amekopa unga na mkaa anasema eti hebu tusikilizie leo na kesho hali inaweza kutengemaa. Walahi angekuwa mimi ningeacha kuwaongelesha kwa wiki nzima huku nikiagiza zoezi la kufuta leseni liendelee kwa kasi.Wee endelea kula kiyoyozi mkuu ,ni rahisi sana wewe kuongea hivyo ishu yakuiba mafuta ni tamaa ya mtu mmoja mmoja siokwamba madereva wa nchi nzima wanaiba kwa taarifa tuu hata hao vigogo huko wizarani wengi ndio wenye magari kwaiyo ni vizuri kutatua shida yao wasikilizwe kama walivoomba Rais au waziri mkuu atoe tamko na atatoa tuu maana naye ana mabus. Mnyonge mnyongeni haki zao wazipate
Kaka nimekutana na dereva mmoja aliyefuata mkumbo wa kugoma tayari yuko hoi kwelikweli, amekopa unga na mkaa anasema eti hebu tusikilizie leo na kesho hali inaweza kutengemaa. Walahi angekuwa mimi ningeacha kuwaongelesha kwa wiki nzima huku nikiagiza zoezi la kufuta leseni liendelee kwa kasi.
hawataki kurudisha fedha za abiria waliokata tiketi, wajinga hawa. magari mengi leo yamesafiri
View: https://www.youtube.com/live/p5CdMw76jFc?si=H-c2gLrgAjcVMCPk
Nitupie tupicha twa dereva huyo nini na basi lake?
Chuo ulinifundisha wewe?wewe fuata sheria kama ulivyosoma chuoni.