Wee endelea kula kiyoyozi mkuu ,ni rahisi sana wewe kuongea hivyo ishu yakuiba mafuta ni tamaa ya mtu mmoja mmoja siokwamba madereva wa nchi nzima wanaiba kwa taarifa tuu hata hao vigogo huko wizarani wengi ndio wenye magari kwaiyo ni vizuri kutatua shida yao wasikilizwe kama walivoomba Rais au waziri mkuu atoe tamko na atatoa tuu maana naye ana mabus. Mnyonge mnyongeni haki zao wazipateSio kweli, wale wa malori wananyonya na kuuza mafuta ya tajiri lakini hela wanakula yote wakidhani keshokutwa watasafiri tena na kupata hela ingine. Hatuweki akiba aloo. Ukifuta leseni watakunya ugolo. Hata huo mgomo wangewaacha tu watasalitiana na kurudi kazini wenyewe keshokutwa asubuhi na mapema.
😳😳😳😳😳 Acha bhwana ndugu yangu kwahiyo na hii ni order kutoka juu?Suala la rushwa polisi wanatumwa makusanyo
Ova
Kugoma ambapo sio kwa kipumbavu ndio kukoje!?Kama wamegoma kipumbavu
Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
Naunga mkono hoja kwa 100%naunga mkono hoja 100%![]()
Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
Lakini umesikia baadhi ya hoja...Siwatetei madereva Wala siwalaumi polisi.
Madereva ndy wanamakosa Kwasababu ikiwa watafata Sheria inamaana tutapunguza ajari za barabarani.
Lakini pia inasemekana kuwa madereva ndy wamewalemaza hao polisi Kwa kuwapatia rushwa Kila kukicha.
Nb: kosa la polisi ni kutoa number za mabasi lakini kwenye kukata point sio I kosa hapo
Sawa mkuu nimekuelewaLakini umesikia baadhi ya hoja...
Polisi (traffic) anakaa sehemu anasubiri basi kama 3 zipite... Sehemu ambazo wanasubiriwa ni zile zenye mstari mmoja ambapo huruhusiwi ku overtake
Sasa trafic anakuwa na private car... Anayapita mabus..makusudi Kisha anaendesha speed 30 mbele yao.. Sehemu ambayo Haina speed limit.. ambapo mabus yanaruhusiwa Kwenda speed 80...
Sasa yule Polisi anakuwa mbele ...mnaenda naye hata kilometer 10 kama haziruhusiwi...anafanya makusudi ili ufanye overtaking ...mbeleni mnakutana na kisanga Cha leta leseni... Katoe laki 5..
Nyingine ..Polisi wanawatega sehemu inaruhusiwa ku overtake..baada ya meter kama 3 ..Kuna mstari wa kuzuia kuovertake.. tuseme wakati unamalizia kulipita gari unakutana na mstari wa kuzuia overtake.. traffic anachukua leseni na bila hata 50k ...hakupi au anakuweka ndani
Hata hujui kitu namna serikali inavyofanyakazi zake. Huduma inarejea wakati akidakwa mmoja baada ya mwingine waliosababisha usumbufu kwa taifa.Hiyo serikali unayoiambia ifute ina magaru na MADEREVA wakutoa huduma kwa jamii?.. sasa wanaume wamesimamisha mpk serikali ya wapumbavu imeufyata.... Hao sio walim... WTZ tujifunze kwa MADEREVA HAKI haidaiwi kwa kuñyenyekea wapuuzi...... Tupamabane nao kwa damu na jasho....
Barabara bora mnazo?Wafuge kabisa tuanze upya, tumechoka kuzika kila siku Ndugu zetu na ulemavu kwa ajali za kijinga
Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
Hela ya dawa ya viatu tu hiyo. Wewe kama dereva fanya udereva wako uliofundishwa, tegua mitego hiyo ya traffic kama wewe ni dereva kweli.Lakini umesikia baadhi ya hoja...
Polisi (traffic) anakaa sehemu anasubiri basi kama 3 zipite... Sehemu ambazo wanasubiriwa ni zile zenye mstari mmoja ambapo huruhusiwi ku overtake
Sasa trafic anakuwa na private car... Anayapita mabus..makusudi Kisha anaendesha speed 30 mbele yao.. Sehemu ambayo Haina speed limit.. ambapo mabus yanaruhusiwa Kwenda speed 80...
Sasa yule Polisi anakuwa mbele ...mnaenda naye hata kilometer 10 kama haziruhusiwi...anafanya makusudi ili ufanye overtaking ...mbeleni mnakutana na kisanga Cha leta leseni... Katoe laki 5..
Nyingine ..Polisi wanawatega sehemu inaruhusiwa ku overtake..baada ya meter kama 3 ..Kuna mstari wa kuzuia kuovertake.. tuseme wakati unamalizia kulipita gari unakutana na mstari wa kuzuia overtake.. traffic anachukua leseni na bila hata 50k ...hakupi au anakuweka ndani
Hujui kama unapewa leseni ya kubeba abiria na route/njia kwa mashariti fulani? Walichokifanya ni kuhatarisha usalama wa taifa. Huo mgomo kama utakuwa haukufuata taratibu za kugoma watakuwa na hatia ya kuhujumu usalama wa taifa na uchumi. Walioanzisha mgomo wakae mkao wa kula.Mkuu Exy, umeongea ukweli mchungu sana ambao watu wengi wanaogopa kuusema! Swali lako ni la msingi mno: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni HAPANA. Ndio maana wamelazimika kushusha kiburi chao na kuufyata.
Hawa sio walimu au watumishi wa maofisini ambao unaweza kuwatishia kuwafuta kazi kwa barua. Hapa tunaongelea sekta ya usafirishaji—mshipa wa damu wa uchumi wa nchi yoyote ile duniani. Madereva wakigoma, nchi inasimama, na hakuna mtutu wa bunduki unaoweza kuendesha lori au basi barabarani.
Ili kuunga mkono hoja yako kwamba sekta ya usafirishaji ikisimama serikali haina ujanja, hebu tuangalie historia ya nchi kubwa kama Uingereza (UK) ambako migomo ya namna hii ililazimisha serikali zao kufanya mambo ya ajabu kwa sababu ya kukosa mbadala:
1. Mgomo Mkuu wa Mwaka 1926 (The 1926 General Strike)
Huu ndio mgomo mkubwa zaidi wa kihistoria. Wachimba migodi waligoma, na kwa mshikamano wa dhati, madereva wote wa treni, reli, na wasafirishaji wa mizigo na abiria waligoma nchi nzima. Nchi ilisimama kabisa kwa siku 9. Serikali ilikosa madereva na magari mbadala, ikalazimika kutangaza hali ya hatari na kuamuru wanajeshi kuacha kambi zao ili waje kulinda bandari na kujaribu kusafirisha vyakula dharura. Serikali ililewa na nguvu ya hawa wanaume!
2. Mgomo wa Wazimamoto (1977 na 2002–2003)
Wataalamu hawa walipogoma nchi nzima kudai maslahi yao, serikali ilikosa watu wa kuzima moto. Walilazimika kupeleka takriban wanajeshi 19,000 mitaani kufanya kazi hiyo. Na kwa sababu wazimamoto waligoma hadi na magari yao ya kisasa, wanajeshi walilazimika kutumia magari mabovu ya kijeshi ya zamani yaliyojulikana kama "Green Goddess."
3. Kipindi cha "Winter of Discontent" (1978–1979)
Madereva wa ambulansi na wasafisha taka waligoma nchi nzima kwa sababu ya mfumuko wa bei. Serikali ilizidiwa nguvu, takataka zikajaa mitaani, na wagonjwa wakakosa usafiri. Serikali ililazimika kuwasihi wanajeshi waendeshe ambulansi za dharura ili kuokoa maisha ya watu.
Somo Kubwa:
Kama ulivyosema mkuu Exy, haki haidaiwi kwa kunyenyekea au kupiga magoti mbele ya mifumo kandamizi. Unapambana kwa umoja na msimamo thabiti unaoonyesha kuwa "bila mchango wetu, hakuna nchi inayoweza kwenda mbele."
Umoja waliouonyesha madereva wetu hapa nchini ni somo tosha kwa Watanzania wote. Huwezi kushinda mapambano kwa kulalamika chini kwa chini; unaonyesha nguvu yako kwa vitendo mpaka wenye mamlaka watambue kuwa wafanyakazi ndio nguzo ya taifa. Ukweli mtupu mkuu!
Mimi ni dereva.. privateHela ya dawa ya viatu tu hiyo. Wewe kama dereva fanya udereva wako uliofundishwa, tegua mitego hiyo ya traffic kama wewe ni dereva kweli.
Serikali haina hasara, inaweza kuleta wawekezaji kutoka Kenya, Uganda, Rwanda kwenye usafiri wa abiria ndani ya nchi. Kuna vitu vingine vinafanywa kwaajili tu ya kulinda ajira za ndani. Serikali inaweza kuleta wachina hapa wasafirishe watu kutoka Dar kwenda Mahuta.Hiyo serikali unayoiambia ifute ina magaru na MADEREVA wakutoa huduma kwa jamii?.. sasa wanaume wamesimamisha mpk serikali ya wapumbavu imeufyata.... Hao sio walim... WTZ tujifunze kwa MADEREVA HAKI haidaiwi kwa kuñyenyekea wapuuzi...... Tupamabane nao kwa damu na jasho....
Tena wakileta mzabuni Mchina tutasafiri kwa bei nafuu sana😄Serikali haina hasara, inaweza kuleta wawekezaji kutoka Kenya, Uganda, Rwanda kwenye usafiri wa abiria ndani ya nchi. Kuna vitu vingine vinafanywa kwaajili tu ya kulinda ajira za ndani. Serikali inaweza kuleta wachina hapa wasafirishe watu kutoka Dar kwenda Mahuta.
Hata mimi huwa wananikamata sana, lakini kila wakinikamata ni kweli nimefanya kosa au gari ina kosa. Ninachofanya mimi ni kukubaliana na kosa langu na kuomba msamaha, kama wakikataa kunisamehe siwapi rushwa niko tayari waniandikie kosa na kulipa 30,000 nikifika au nikirudi kutoka safari yangu. Kwa hasira unaweza kukuandikia makosa mawili ulipe 60,000 lakini lakini sijali bora nilipe kuliko kuwapa 5000. Kwa tabia yangu hiyo huwa hawanikamati ovyo kwa kuona wanapoteza muda wao bure kwa mtu ambae hawatapata kitu.Mimi ni dereva.. private
Halafu acha kuwa na upande ..hasa Hawa Askari..mi huwa naendesha gari kwa mambo yangu binafsi..lakini ukikutana nao barabarani ni balaa...
Anakukagua utafikiri una ebola...akiona huna kosa anaanza... Nipe nyekundu..jua kali.. Sasa Hawa jamaa utafikiri hawalipwi mishahara.. au wanajua Kila mwenye gari ni ATM ya benki ?