Futa milele leseni zote za madereva waliogoma bila kufuata utaratibu.

Futa milele leseni zote za madereva waliogoma bila kufuata utaratibu.

Leo basha wako kakutia hajakumwagia ndani hasira umekuja kuzimalizia huku MATAKO ya mama yako mleta uzi sheeeeeenzi
 
naunga mkono hoja 100% :KasugaYeah:
Serikali ya mama Ina magari mengi sana ingependeza zaidi Leo tungeyaona yanakuwa mbadala Leo yangetoa huduma na sio kubeba watekaji tu na kuunda msafara mrefu kwa ajili ya kumsindikiza TAL mahakamani🥹🥹
 
Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.

Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.

View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_


Then ww na familia yako mnapata faida gani?

Mawazo ya maskini ni kuombea vitu vya hovyo tu

Roho mbaya imewahi kukupa faida gani?

Ndio maana Trump alisema hatuna tofauti na nyani
 
Kabisa,alafu serikali iwekeze wenyewe kwenye usafirishaji
Au siyo

Ova
tunayo nguvu kazi kubwa nchini,
tunao wawekezaji na madereva wengi wazuri na waaminifu zaidi kuliko hawa wahujumu uchumi, ambao kwakweli wanastahili hatua kali zaidi za kisheria, na wasionekane kabisa wakijihusisha na masuala ya usafirishaji :NoGodNo:
 
Wewe sio dereva hata ukonda huwezi?
Madereva sio wajinga kila leo huko barabarani wanabuni njia za kunyonya wasafirishaji.
Sio kweli, wale wa malori wananyonya na kuuza mafuta ya tajiri lakini hela wanakula yote wakidhani keshokutwa watasafiri tena na kupata hela ingine. Hatuweki akiba aloo. Ukifuta leseni watakunya ugolo. Hata huo mgomo wangewaacha tu watasalitiana na kurudi kazini wenyewe keshokutwa asubuhi na mapema.
 
Back
Top Bottom