Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,350
- 11,727
Nina wasiwasi hata muonekano na matendo yuko hivyoWanafanana akili.

Mkuu huwa nazikubali sanaWewe sio dereva labda wa kutoa kigari chako nyumbani na kwenda sokoni..
Wale polisi na mahabusu waliouwawa singida wao ndiyo walio sababisha wafe?Wafuge kabisa tuanze upya, tumechoka kuzika kila siku Ndugu zetu na ulemavu kwa ajali za kijinga
Wamebadili sasa hivi zipo kama kitambulisho cha Nida ila wana sehemu unaweza kuscan na ukapata taarifa kwa kutumia camera ya simu..Mkuu huwa nazikubali sana
Leseni za Zimbabwe 🇿🇼
Hivi bado ziko kama bati(steel)
Ova
Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_

Miaka ya 99-2000 nlikuwaga nayo enzi tunabinjusha magari,sema walikuwa na sheria gari za transit lazima uziweke kwenye loader zivuke kwao,I hope hyo sheria wameiondoa au bado ipoWamebadili sasa hivi zipo kama kitambulisho cha Nida ila wana sehemu unaweza kuscan na ukapata taarifa kwa kutumia camera ya simu..
Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
SAYNGAYnaunga mkono hoja 100%![]()
Suala la rushwa polisi wanatumwa makusanyoSiwatetei madereva Wala siwalaumi polisi.
Madereva ndy wanamakosa Kwasababu ikiwa watafata Sheria inamaana tutapunguza ajari za barabarani.
Lakini pia inasemekana kuwa madereva ndy wamewalemaza hao polisi Kwa kuwapatia rushwa Kila kukicha.
Nb: kosa la polisi ni kutoa number za mabasi lakini kwenye kukata point sio I kosa hapo
wafafanulie wadau wa jf kwa lugha inayofahamika na itapendeza zaidi gentlemanSAYNGAY

Hiyo sheria bado wanayo kwa gari Transit zisizo na namba kuna muda hata ukinunua gari SA wanataka ulibebe kupita kwao na pia wana gharama kubwa za kufanya transit naona wanafukuzana na Zambia tu hii SADC ni ya uongo sana hakuna kitu kinawasaidia kupitisha truck Zambia lenye DRC reg ni 1000 usd la Tanzania kidogo nafuu wakati Botswana wanalipia 534usd Msauzi ndio ana malipo kidogo na Tanzania ila Zambia wana toll gate moja kwa truck kwatcha 1500 zaidi ya laki mbili kawaida ni 490 kwatcha kwa horse za zipo 11 kutokea Kazungula mpaka Nakonde..Miaka ya 99-2000 nlikuwaga nayo enzi tunabinjusha magari,sema walikuwa na sheria gari za transit lazima uziweke kwenye loader zivuke kwao,I hope hyo sheria wameiondoa au bado ipo
Ova
😂😂😂Nina wasiwasi hata muonekano na matendo yuko hivyo
Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
Sawa sawa dereva mkongwe mwenzanguHiyo sheria bado wanayo kwa gari Transit zisizo na namba kuna muda hata ukinunua gari SA wanataka ulibebe kupita kwao na pia wana gharama kubwa za kufanya transit naona wanafukuzana na Zambia tu hii SADC ni ya uongo sana hakuna kitu kinawasaidia kupitisha truck Zambia lenye DRC reg ni 1000 usd la Tanzania kidogo nafuu wakati Botswana wanalipia 534usd Msauzi ndio ana malipo kidogo na Tanzania ila Zambia wana toll gate moja kwa truck kwatcha 1500 zaidi ya laki mbili kawaida ni 490 kwatcha kwa horse za zipo 11 kutokea Kazungula mpaka Nakonde..