Futa milele leseni zote za madereva waliogoma bila kufuata utaratibu.

Nilijua tu majitu yameshagawanyika, njaa mwanaharamu. Akili za kuambiwa changanya na zako, kila mtu hali yake anaijua mwenyewe. Hechei na SULI!!
 
Wanafanana akili.
Dawa ya tatizo sii kulikimbia kwa kutumika mabavu,ila akili busara na kurekebisha dosari,zingine za kutengeneza kulinyonya Tabaka Fulani,Mimi kwa mtazamo yako na wanaofanana na wewe ndiyo mnaotuharibia taifa letu.
 
Serekali ingekuwa inajali usalama, madereva wa serekali wangekuwa wanaendesha vibaya vile hao majizi wakiwa wamepakia?
 
Mwigulu ndio mmiliki wa mabus ya Esther Luxury, na hayo mabus ni hela zetu wanazotuibia. Mkopo kwake wa nini?
Mgomo umeisha wenyewe, mabenki wanataka hela zao tajiri hataki ujinga. Kazi ni kuwasaka waliompandisha kombe juu ya mbuyu.
 
Serekali ingekuwa inajali usalama, madereva wa serekali wangekuwa wanaendesha vibaya vile hao majizi wakiwa wamepakia?
Madereva hawawezi kuzuia sheria ya kuzuia ajali isitungwe wala kutekelezwa. Shida ni pale traffic polisi wanapotumia kila nia njema kuwa fursa kwao. Ukweli kabisa polisi wanakera sana, hata hivyo madereva hawataki kulipa 30,000 ya makosa yao halali badala yake wanatoa rushwa ya fedha kidogo kwa makosa yao. Fedha ambayo haifiki serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…