Futari ipi uipendayo


Apo kwenye boga mi sisemi, mmhu. Nalipendaje. Mi huweka na custard kdg na maziwa ya sona.

My first born analipenda sana pia. Nkipika lazima aanze na kukomba sufuria kwanza.
 
Da Faa we custard unapikaje? Hem tupeane maufundi.

Na faluda naona kama nshasahau vipimo. Pls nifahamishe
 
Da Faa we custard unapikaje? Hem tupeane maufundi.

Na faluda naona kama nshasahau vipimo. Pls nifahamishe


Napika tu kama kawaida......

Nachemsha maziwa naweka hiliki na ark ya rose

Pembeni nachanganya unga wa custard na maji.....

Alafu namimina katika maziwa ikuchemka ndio inakua nzito....

Ikiwiva naweka kwenye kibakuli

Natupia zabibu kavu juu

Nahifadhi kwa friji ipate baridi

Natoa nakula
 
Da Faa we custard unapikaje? Hem tupeane maufundi.

Na faluda naona kama nshasahau vipimo. Pls nifahamishe
farkhina na faluda je??
Mm faluda huchemsha zile Chinese grass na maji kwanza halafu na mimina kwenye maziwa niliyochemsha na kuweka sukari.
Namimina kwenye vibakuli km vinne naweka arki kila kibakuli na flavour yake. Naweka kwa fridge tayar kwa kula.
Uzuri wa hii isiwe ngumu sana so unakisia yale majani yasiwee mengi.
Nb:
Ukiitoa kwenye fridge ukakuta ni ngumu na si makusudio yako USITUPE TAFADHALI rudisha jikoni engezea na maziwa au maji kwa kiasi utachopenda weka frijini...
 
Last edited by a moderator:
Bibie samahani lakini, nyumbani wapi?
 
 
Hongera sana ulitengeneza za samaki au nyama

Za nyama mamie embu nsaidie kutengeneza manda za sambusa.
Yaani maelezo mazuri nielewe nasomaga ila sielewi
 
jaman watu wanajua kupika hadi raha........................ hongereni

mie ftari yoyote nakula ila napenda uji usikosekane ule wa umewekwa ka ukwaju fulan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…