Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Mahitaji
Boga
Sukari
Tui jepesi la nazi
Tui zito
Hiliki
Namna ya kutaarisha
Menya boga lako then katakata vipande
Lichemshe na maji kwa muda mdogo kama dakika 15 alafu mwaga maji....
Weka tui jepesi na hiliki
Weka sukar
Wacha ichemke
Mimina tui zito acha ichemke kwa dakika 5.....
Tayar kwa kuliwa
Nb hayo matui yasiwe mengi kutokana na boga ni laini kuiva ..
Apo kwenye boga mi sisemi, mmhu. Nalipendaje. Mi huweka na custard kdg na maziwa ya sona.
My first born analipenda sana pia. Nkipika lazima aanze na kukomba sufuria kwanza.