Futari ipi uipendayo

Futari ipi uipendayo

jama nmerudi tena, nipeni maujuzi kuhusu kaimati, nkishazikaanga, ile shira yake ndo sjaipatia, naomba kuelekezwa ili zisiwe kama visheti
 
jama nmerudi tena, nipeni maujuzi kuhusu kaimati, nkishazikaanga, ile shira yake ndo sjaipatia, naomba kuelekezwa ili zisiwe kama visheti

Shira umeifanya nzito sana. Iengeze maji
 

Attachments

  • 1405381661273.jpg
    1405381661273.jpg
    64.2 KB · Views: 162
Last edited by a moderator:
Asante somo yangu...hadi raha kuwa na somo kama wewe...
Mbona nikiolewa siachiki mie....!

Hiki hapa chetezo unaweka mkaa ukimaliza unasafisha
 

Attachments

  • C360_2014-07-14-22-34-38-027.jpg
    C360_2014-07-14-22-34-38-027.jpg
    59.2 KB · Views: 137
  • C360_2014-07-14-22-34-48-807.jpg
    C360_2014-07-14-22-34-48-807.jpg
    63.4 KB · Views: 133
  • C360_2014-07-14-22-34-10-781.jpg
    C360_2014-07-14-22-34-10-781.jpg
    54.3 KB · Views: 127
Back
Top Bottom