FY2021|22 HESLB imesajili wanafunzi wapya elfu 29 tofauti na elfu 32 wapya waliosajiliwa FY2016|2020

Mkuu unaweza kufafanua hili bila bias,
Duh hilo sharti ulilonipa limenishangaza. Hata hivyo,nitajibu ksma siku zote ninavyojibu ama kueleza bila bias. Njia nzuri ni kwenda Loan board wakupe takwimu nilizoeleza utafute. Kisha nenda kwenye vyuo husika ukusanye takwimu halisi za kilichotolewa kwa kuwaomba wanafunzi wakupe bank statements za maingizo kutoka loan board na status za rufaa zao. Kisha linganisha kama zina tally. Baada ya hapo tafuta asilimia ni wangapi wamepata mkopo kama walivyotarajia. Nashauri ufanye hivyo bila bias.

Ukifanya hivyo utakuwa umewafunga mdomo wote wanaotilia mashaka serikali kutimiza lengo.
 
Njia ndefu sana hii, Ila asante kwa Ushauri,
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
 
Upumbavu mtupu tuliopo chuo ndo tunajua kipi kinaendelea. Nyie endeleeni kudanganywa tu
 
Tanzania kwa miaka yake yote 60 haijawahi kupata Rais Mwanamke ,

1.Mchapakazi

2. Mchamungu,

3. Mpole

4. Mwadilifu,

5. Mpendahaki,

#HAKIKA HAKUNA KAMA SAMIA
 
Umeongea kweli mkuu nashangaa watu wanapambia hovyo tu..watu tangu November eti wanasubiri pesa halafu Ni continuous students.. baadhi mkopo umepunguzwa hii board imepewa Uhuru Sana ifumuliwe
 
Usiandike kwa ushabiki. Ni kweli ongezeko ni kubwa, lakini kumbuka hili si la miezi sita bali la mwaka wa masomo. Pia kumbuka hayo yote hutokana na budget na mipangilio ya maendeleo. Ili tuone kama kweli hilo ongezeko ni la SSH na siyo katika mipango ya muda mrefu ya serkali, tuambiwe mwakaa huu ilipangwa kiasi gani na SSH kaongezea kiasi gani. Kitu kingine Mama Tozo oops SSH sasa hivi anapiga mabillioni kila siku toka Watanzania wa hali ya chini na maskini kupitia miamala ya simu. Kila kunapoongezeka miradi na matumizi kumbuka maskini ndiyo anachangia
sehemu kubwa. Kodi ya miamala haikwepeki, lakini ile ya Bakheresa, Mo, na matajiri wengine inakwepeka kila siku. Huyu mama amekuwa sumu kwa maskini.
 
Upumbavu mtupu tuliopo chuo ndo tunajua kipi kinaendelea. Nyie endeleeni kudanganywa tu
HESLB imekua kama kikoba au kikundi cha kusaidiana. Unaahidiwa hela kesho na kesho ikifika unaambiwa wengine hawajarejesha
 
 
 
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Ila kwa kasi hii huyu Rais tumfikirie aende mpaka 2035.

Kipindi kifupi matokeo makubwa sana.

Duuuh kweli Mungu findi sana.

Sijawahi kuona kasi kama hii tangu nimekua nimeona maraisi wengi
Hahaha no ataishia 2030 tu kwa majaaliwa ya Mwenyezi Mungu wetu,
 
We love you Mama Samia,
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…