FY2021|22 HESLB imesajili wanafunzi wapya elfu 29 tofauti na elfu 32 wapya waliosajiliwa FY2016|2020

Kila kitu Tanzania kinakwenda sawa sawa,
 
HESLB mambo ni moto fire, Kama kuna watu wa kumshukuru Rais Samia kwa nguvu zao zote basi ni hawa wanafunzi wa vyuo vikuu,
 
Yaani miaka mitano wanafunzi elfu 32,

Kasi ilikuwa ni ndogo sana
 
Nzuri sana hii summary
 
Tuko vizuri sana,
 
Historia za Mama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…