FY2021|22 HESLB imesajili wanafunzi wapya elfu 29 tofauti na elfu 32 wapya waliosajiliwa FY2016|2020

Hongera sana
 
Mkuu salama?
 
Safi Mama, piga kaziw
 
 
Kaziiendelee kwa kasi ya ajabu,
 
 
Niko na Rais Samia hata kesho,
 
idadi ya wanufaika wa HESLB wamefikia 160,000 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 29,177
Sasa uliza wangapi wamepata mkopo walouhitaji, wangapi wameambiwa wakate rufaa, na ulizia mwenendo wa kishughulikia rufaa hizo.
 
Hao bodi ya mikopo nikama wanaudanganyatu umma wa watanzania.
Hivi inawezekanaje yatima na wanaofaidika na misaada ya TASAF wakose mkopo na wengine wenye uwezo kifedha wapewe mkopo.

Ili kujua kama hii bodi ni kituko,eti hadi Leo hii wapo baadhi ya wanachuo walishaoangiwa mikopo lakini hawajapewa pesa zao wala hawajasaini.
Hii ni aibu kwa Abdul Razak na bodi yake yakimagumashi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…