FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

 
Atalipa tu hata ya Awamu ya Nyerere bado yapo.. na anayokopa yeye yatalipwa na watakaompokea kijiti..hiyo ndiyo maana ya serikali
 
tafuta namna nyingine ya kumpongezq mama,sio inshu ya madeni ,mwal.aliacha madeni,mwinyi aliacha madeni,mkapa aliacha madeni ,jk pia.hakuna ambae ataweza kuyamaliza au kutokukopa.tunachotaka maendeleo basi
Mwandiko sasa!
 
apenda nitoe mawazo yangu kwenye mikopo ya serikali. Nitaelezea kwa mtiririko wa utekelezaji ili niwasaidie Serikali badala ya kulalamika na kupigiana madongo...
Umeandika kitu kizuri sana hiki
 
Dah....halafu zaidi ya nusu...iwe madeni hewa 🤣🤣🤣🤭
 
Madeni zaidi watumishi Mungu amuongoze ayalipe yote pia,wengine wanadai miaka zaidi ya kumi, wengine walishafariki,wengine walihakikiwa mpaka madai Yao yakafutwa mbaya, wengine wamestaafu na hakuna wa kuyafuatilia haya kiroho sikivu.
.
 
Madeni zaidi watumishi Mungu amuongoze ayalipe yote pia,wengine wanadai miaka zaidi

ya kumi,wengine walishafariki,wengine walihakikiwa mpaka madai Yao yakafutwa mbaya,wengine wamestaafu na hakuna wa kuyafuatilia.haya kiroho sikivu.
.
Ndio maana tunawaambia waombeeni
 
Back
Top Bottom