Rais wa Matajiri
JF-Expert Member
- Sep 14, 2018
- 1,522
- 643
ongeza juhudi, ila ukumbuke ukikosa ukimwi kuna mimba!!!Umeona nani anatoa kufuru awamu ya Sita mkuu,
Kama hujui kusoma hata picha huoni?
Khaaaongeza juhudi, ila ukumbuke ukikosa ukimwi kuna mimba!!!
Haya madeni yasingekuwepo angekuwa mbaliAtalipa tu hata ya Awamu ya Nyerere bado yapo.. na anayokopa yeye yatalipwa na watakaompokea kijiti..hiyo ndiyo maana ya serikali
Mwandiko sasa!tafuta namna nyingine ya kumpongezq mama,sio inshu ya madeni ,mwal.aliacha madeni,mwinyi aliacha madeni,mkapa aliacha madeni ,jk pia.hakuna ambae ataweza kuyamaliza au kutokukopa.tunachotaka maendeleo basi
Hatari tupu yaani,Mwandiko sasa!
Umeandika kitu kizuri sana hikiapenda nitoe mawazo yangu kwenye mikopo ya serikali. Nitaelezea kwa mtiririko wa utekelezaji ili niwasaidie Serikali badala ya kulalamika na kupigiana madongo...
Chawa wa Mbowe upo?Sawa chawa wa January na Nape,tumekusikia.
Ndio maana tunawaambia waombeeniMadeni zaidi watumishi Mungu amuongoze ayalipe yote pia,wengine wanadai miaka zaidi
ya kumi,wengine walishafariki,wengine walihakikiwa mpaka madai Yao yakafutwa mbaya,wengine wamestaafu na hakuna wa kuyafuatilia.haya kiroho sikivu.
.
Umenena ya haki kabisa,Naona Wazabuni na Watumishi wa Umma full kicheko,
Hongera Sana Rais wetu, We love you
Tanzania imepata rais wa kihistoriaHuwa naona kama wana ccm Sana matatizo makubwa, hayo madeni makubwa ni yameletwa na chama gani?
Hatujawahi kula history, wala umeme na maji havijawahi kuletwa na historiaTanzania imepata rais wa kihistoria
Daaahongeza juhudi, ila ukumbuke ukikosa ukimwi kuna mimba!!!