FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Chawa namba moja usitutoe kwenye reli
 
Unamaana gani? Huoni manufaa ya CCM Tanzania?
Wewe lazima uyaone maana kila mtu anayo namna yake ya kitathmini. Ukiona misaada na mikopo ya nje inaitwa pesa za ndani na watu wanashangilia jua kuna tatizo kama sio mifadhaiko kwenye vichwa vya washangiliaji.
 
Mkuu relax nchi yako iko salama zaidi kuwa na amani,
 
Kwani wengine hawakuwa wanalipa madeni ya nyuma?
Hiii Baghosha!.
 
Hii ni habari kweli?
Magufuli alikua analipa Bio 700 kila mwezi kwa sababu ya madeni ya nyuma
 
Unalipaje madeni wakati Mfumo mzma wa uchumi wa Tanzania ni mgumu hii nguvu yy anaitoa wp
 
#Tanzania Kaziiendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…