FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

Huu ndio upumbafu anaousema Mtume Mwingira. Huyu maza hana uwezo wa kutoa hizi pesa. Kwani ukisema Serikali imetoa unapungukiwa nini?
 
Huu ndio upumbafu anaousema Mtume Mwingira. Huyu maza hana uwezo wa kutoa hizi pesa. Kwani ukisema Serikali imetoa unapungukiwa nini?
Kwani wakati hazikutolewa Serikali haikuwepo?
 
Kwani wakati wa kuchipua kwa madeni haya Serikali haikuwepo?
Unadhani waliopita walikuwa hawalipi madeni yaliyopita?Hata Rais anayekuja atakuja kulipa madeni ya SSH!Ambapo SSH amesema ataendelea kukopa!
 
Unadhani waliopita walikuwa hawalipi madeni yaliyopita?Hata Rais anayekuja atakuja kulipa madeni ya SSH!Ambapo SSH amesema ataendelea kukopa!
Sasa tatizo liko wapi tukisema analipa???
 
Sasa tatizo liko wapi tukisema analipa???
Suala hapa sio choice ya Rais kulipa,ni mikataba tunayoingia ndio inalazimisha!Hata Samia akifa,serikali itaendelea kulipa!Wala sio familia ya Samia itakayofuatwa Ili walipe,l Bali serikali regardless ya nani ni Rais!
Huku kwingine ni kujikomba Komba,either Kwa malipo au kusaka fursa Ili mumpe sifa hata asizostahili!
 
Mkuu bado sijaona hoja hapo zaidi ya chuki na kutaka kum-underate Rais wetu,
 
Mkuu bado sijaona hoja hapo zaidi ya chuki na kutaka kum-underate Rais wetu,
Huwezi kuona hoja maana uko kibaruani!Nasema hivi,serikali italipa madeni Kwa mujibu wa mikataba ya ukopaji regardless Rais ni nani!
 
Hizo pesa angeziingiza kwenye kilimo KILA mwaka zingezaa mara mbili ya hizo.
Hakuna maendeleo bila kilimo
 
Unadhani waliopita walikuwa hawalipi madeni yaliyopita?Hata Rais anayekuja atakuja kulipa madeni ya SSH!Ambapo SSH amesema ataendelea kukopa!
Wanakopa sisi ndio tunalipa wakati wanakopa awatushirikishi
 
Pongezi nyingi kwa Mama
 
Hivi hizo pesa zitatoka lini mana kuna mzee wangu anasubiri pesa ambazo baba ake angetakiwa alipwe alipostaafu serikalini
 
Tutafika salama kabisa tuchapeni kazi,
 
Kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…