CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #301
Uzalendo ndio huu tena wavitendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wakati hazikutolewa Serikali haikuwepo?Huu ndio upumbafu anaousema Mtume Mwingira. Huyu maza hana uwezo wa kutoa hizi pesa. Kwani ukisema Serikali imetoa unapungukiwa nini?
Kwahiyo Samia akifa,hizo pesa hazitalipwa?Akili zenu mnazijua wenyewe!Kwani wakati hazikutolewa Serikali haikuwepo?
Kwani wakati wa kuchipua kwa madeni haya Serikali haikuwepo?Kwahiyo Samia akifa,hizo pesa hazitalipwa?Akili zenu mnazijua wenyewe!
Unadhani waliopita walikuwa hawalipi madeni yaliyopita?Hata Rais anayekuja atakuja kulipa madeni ya SSH!Ambapo SSH amesema ataendelea kukopa!Kwani wakati wa kuchipua kwa madeni haya Serikali haikuwepo?
Sasa tatizo liko wapi tukisema analipa???Unadhani waliopita walikuwa hawalipi madeni yaliyopita?Hata Rais anayekuja atakuja kulipa madeni ya SSH!Ambapo SSH amesema ataendelea kukopa!
Suala hapa sio choice ya Rais kulipa,ni mikataba tunayoingia ndio inalazimisha!Hata Samia akifa,serikali itaendelea kulipa!Wala sio familia ya Samia itakayofuatwa Ili walipe,l Bali serikali regardless ya nani ni Rais!Sasa tatizo liko wapi tukisema analipa???
Suala hapa sio choice ya Rais kulipa,ni mikataba tunayoingia ndio inalazimisha!Hata Samia akifa,serikali itaendelea kulipa!Wala sio familia ya Samia itakayofuatwa Ili walipe,l Bali serikali regardless ya nani ni Rais!
Huku kwingine ni kujikomba Komba,either Kwa malipo au kusaka fursa Ili mumpe sifa hata asizostahili
Huwezi kuona hoja maana uko kibaruani!Nasema hivi,serikali italipa madeni Kwa mujibu wa mikataba ya ukopaji regardless Rais ni nani!Mkuu bado sijaona hoja hapo zaidi ya chuki na kutaka kum-underate Rais wetu,
Wanakopa sisi ndio tunalipa wakati wanakopa awatushirikishiUnadhani waliopita walikuwa hawalipi madeni yaliyopita?Hata Rais anayekuja atakuja kulipa madeni ya SSH!Ambapo SSH amesema ataendelea kukopa!
Unahoja mkuu, Tumpe muda Mama,Hizo pesa angeziingiza kwenye kilimo KILA mwaka zingezaa mara mbili ya hizo.
Hakuna maendeleo bila kilimo
Kodi zetuUnahoja mkuu, Tumpe muda Mama,
Zimefanya nini kodi zetu mkuu?Kodi zetu
Pongezi nyingi kwa MamaRais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa makampuni binafsi au taasisi.
Kwakuanzia tu mwaka huu pekee Rais Samia analipa madeni yenye thamani ya Jumla ya zaidi ya TZS11.17623Trilioni.
Watanzania mnapoambiwa Rais Samia ni levels zingine muelewe pamoja na kulipa madeni yote haya miradi yote ya maendeleo Mipya na yazamani inaendelea kwa speed, Pitia hii listi ya malipo
1 . Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 111.41BL ili kuwalipa watumishi wa Serikali wanaoidai Serikali,
Tunafahamu malipo haya yataongeza ari na nguvu zaidi kwa watumishi hawa wa Serikali kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kuwatumikia Watanzania ambao ndio waajiri wao, Je! hili si jambo jema?
2. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 264.23BL kwaajili ya kuwalipa wakandarasi wetu mbalimbali wa nje na ndani waliokuwa wanaidai Serikali.
Hii itaongeza imani na uaminifu kwao katika kuendelea kutoa huduma kwa Serikali yetu ya JMT, Je! hili si jambo jema?
3. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 70.49BL kwaajili ya kuwalipa Wazabuni wetu mbalimbali waliotoa bidhaa na huduma kwa Serikali yetu.
Sote ni mashahidi Wazabuni wengi walikuwa wakilalamika kudaiwa mikopo benki naamini wamefuraha sasa na Wataendelea kutekeleza ilani ya CCM ya 2020-2025 bila kinyongo, Je! hili si jambo jema?
4. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 2.17BL ili kuwalipa watoa huduma mbalimbali waliokuwa wanaidai Serikali kutoka katika Wizara mbalimbali.
Hakika mama huyu anajicho la pekee kama hujaelewa unakwenda wapi na Rais Samia basi ni wazi wewe hujui unakotaka kwenda-Je! hili si jambo jema?
5. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 67.93BL kwaajili ya hukumu na fidia mbalimbali ambazo Serikali inadaiwa baada ya kushindwa kesi mbalimbali ili kutengeneza imani kwa wawekezaji wa ndani na nje pamoja na watu binafsi,Je! hili si jambo jema?
6. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 10.66Trilioni ili kulipia deni la Serikali pamoja na mikopo mingine kwa uwezo wa Manani kupitia Rais Samia na timu yake tutafika tena kwa kuwahi sana.
Je, hili si jambo jema?
![]()
Tutafika salama kabisa tuchapeni kazi,Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa makampuni binafsi au taasisi.

DaaahSawa chawa wa January na Nape,tumekusikia.
Kazi iendeleeRais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa makampuni binafsi au taasisi.