G. Msigwa na Wafanyakazi wote wa Wizara chini Yako Nawasalimia Ndugu Zangu

G. Msigwa na Wafanyakazi wote wa Wizara chini Yako Nawasalimia Ndugu Zangu

D

DeletedMember281674

Guest
Screenshot_20260331-082949.jpg
 
Mimi nawasalimu Ndugu zangu, Mhe. G. Msigwa na Wakurugenzi wako wote na Wafanyakazi wako wote mpaka Madereva na Wahudumu walioko chini ya Wizara yako Nawasalimia kwa Jina la Muungano wa Tanzania - Kweli naona kazi unaendelea tena kwa Kasi kubwa sana.

Nyie ndiyo Mabilionea wajao bhana. Tunawategemea Sana nchi hii, Mhe. G. Msigwa lile Ghorofa lako kule Mbweni Heshima kwako Mkuu 🙏. Bado zile Hoteli zako pale Njombe na Dodoma unazozijenga na zile Apartments zako pia heshima kwako Mkuu 🙏.

Kila la kheri katika safari Yako ya Bilionea
 
Ndio maana hiyo wizara inaongoza kwa uchawa kuanzia makonda na msigwa mwenyewe, hakuna popote watakaposimama kuongelea chochote bila kutaja majina daktari samia suluhu hassan....watarudia rudia kutamka maneno hayo kila baada ya sentensi 2 kwenye taarifa zao!
Kumbe wana maana yao na hv boss wao ni mzito kichwani ye anadhani wanamsifia ilihali ni matapeli tu!
 
Alitangulizwa Makonda kule kabla mzigo haujapelekwa kwa maagizo ya kazi maalum, ndio upate picha kwa nini tunashauriwa tuwasute tu, magereza ni ya chadema sio mafisadi
Hahahaha
 
Back
Top Bottom