PreGE2025 G55 Henry Kileo, Moza Ally, Patrick Assenga, Asha Abubakari na Glory Tausi wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aisee hili lichama mbona linazidi kumeguka?😎
bei ya kulaza mgonjwa mmoja mlala hoi toka kule sumbawanga pale muhimbili ni shiling 50000/= kwa siku. hili linajulikana kwa viongozi wa ccm lakini hawajawahi kulizungumza popote ili wanachi wajue
sasa hata chadema ikifa wananchi wataendelea kufa tu mana hakuna serikali inayowajali.
chama kinachokufa viongozi wake wanakamatwa airport? hii inatokea Tanzania tu. huku majuha yakikenua meno
 
sasa wahuni hao kwanini wasikamatwe? serikali iko macho msifikiri hawana akili mlipo wapo wanawachunguza tu mbuni nyie
 
bei ya kulaza mgonjwa mmoja mlala hoi toka kule sumbawanga pale muhimbili ni shiling 50000/= kwa siku. hili linajulikana kwa viongozi wa ccm lakini hawajawahi kulizungumza popote ili wanachi wajue
sasa hata chadema ikifa wananchi wataendelea kufa tu mana hakuna serikali inayowajali.
chama kinachokufa viongozi wake wanakamatwa airport? hii inatokea Tanzania tu. huku majuha yakikenua meno
Endelea tu kutoa mapovu😂
 
Back
Top Bottom