Duh leo kawa gunia la misomari,ama kweli shetani na wahuni Mungu na waungwanaKwaheri Kilewo ulikuwa gunia la Misumari

Kitabu kilianfika juu ya Chadema ya Mbowe ambayo ilikuwa saccos yake ambayo ni tofauti na Chadema ya ukweli inayoongozwa na Lissu!!Mshana Jr pamoja na kazi nzuri anayoifanya sasa hivi, lakini alitunga kitabu kuieleza Chadema ni nini? All in all, let us "sideline" the past and forge for a better future!
View: https://www.youtube.com/watch?v=7DyNX31-xaQ
View attachment 3333504
Henry John Kileo, Mwenyekiti wa CHADEMA Kinondoni, atangaza kujivua Uanachama
View attachment 3333505
Henry John Kileo: Naondoka CHADEMA tukutane kwenye jukwaa lingine, siendi kuanza upya

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa kichama wa Kinondoni, Henry Kilewo, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya chama hicho, akitaja kupotea kwa mwelekeo wa kiuongozi na uminywaji wa demokrasia ya ndani kama sababu kuu ya uamuzi wake.
Kilewo, ambaye pia ni mmoja wa waanzilishi wa kundi la G-55 ndani ya chama hicho, amesema hatua hiyo inatokana na kile alichokiita kuvunjika kwa misingi ya maadili ya chama, kukithiri kwa vitendo vya kulipiza visasi dhidi ya wanachama waliotoa maoni ya tofauti, na kukosekana kwa mazingira ya usawa wa kidemokrasia.
“Chama kama kimepoteza mwelekeo wa kiuongozi, kimepoteza mwelekeo wa kutovumiliana kidemokrasia. Haya yalionekana wazi baada ya sisi G-55 kutoa mapendekezo,” amesema Kilewo akizungumza na waandishi wa habari siku ya Jumatano mkoani Dar es Salaam.
Ameeleza kuwa badala ya chama kuangalia hoja zilizotolewa kwa nia ya kujenga, viongozi wa juu waliibuka na kampeni za wazi za kuwashambulia na kupanga mikakati ya kuwaondoa wale waliokuwa na mitazamo tofauti, akisema hata Mwenyekiti wa sasa wa chama aliwahi kuenda majukwaani na “kukinanga chama chake mwenyewe”.
Kilewo ameongeza kuwa kinachoendelea sasa ndani ya chama hicho kinaashiria uwezekano wa hali kuzidi kuwa mbaya kwa viongozi waliobaki, akisema: “Kwa kasi hii, ipo siku tutakuta hata Mwenyekiti wa chama amefukuzwa chama. Hii ndiyo hali halisi iliyopo.”
Akieleza kujiondoa kwake CHADEMA, Kilewo amesema: “Nimetafakari sana, na nimekubaliana na nafsi yangu kuwa dhana iliyonivutia kujiunga na CHADEMA haipo tena. Kwa hiyo leo ninatangaza kujiondoa rasmi, na si mwanachama wa CHADEMA tena, wala kiongozi wa chama hicho.”
Hatua hiyo ya Kilewo inakuja siku chache tu baada ya Tawi la CHADEMA Kisutu kumwandikia barua ya wito wa kujieleza, likimtuhumu kwa kuhujumu shughuli halali za chama, usaliti, na kuendesha kampeni za kuwashawishi wanachama kuondoka.
Katika barua hiyo ya Mei 11, 2025, iliyosainiwa na Katibu wa tawi hilo, Anaely Sarakikya, Kilewo alitakiwa kuwasilisha maelezo ya maandishi ndani ya siku 14 juu ya tuhuma zinazomkabili. Barua hiyo inadai kuwa Kilewo amekuwa kinara wa “usambazaji wa mabango ya mikutano ya waandishi wa habari inayoratibiwa kwa nia ovu ya kushawishi wanachama na viongozi wa CHADEMA kuhama chama.”
Kwa sasa bado haijajulikana kama Kilewo atajibu barua hiyo au la, lakini uamuzi wake wa kujiondoa rasmi unaweza kuwa umejibu hoja hiyo kwa vitendo.
=====================Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Segerea na Mhasibu wa Kanda ya Pwani, Patrick Assenga, ametangaza kujivua nyadhifa na kujiondoa rasmi ndani ya chama hicho akilalamikia kile alichokiita kukatishwa tamaa kwa watu wanaotoa ushauri na kukandamizwa kwa demokrasia ya ndani ya chama.
CHADEMA INAONGOZWA KWA UOGA
Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam siku ya Jumatano, Assenga amesema hali ndani ya chama imebadilika mno tangu uongozi mpya wa juu ulipoingia madarakani, huku wakosoaji wakibandikwa majina kama “wasaliti”, “waliopokea rushwa” au “waliohongwa”.
“Tumeshangaa, baada ya uongozi mpya kuingia haturuhusiwi tena kuhoji. Ukishauri jambo unaitwa msaliti, unaitwa umehongwa, unaitwa umepewa pesa. Sisi tulianzisha G-55 kwa malengo ya kushauri chama,” amesema Assenga.
Akiwa mmoja wa waanzilishi wa kundi la G-55 ndani ya CHADEMA, Assenga amesema kundi hilo lililenga kuibua hoja za maboresho ya chama, lakini sasa linatazamwa kama tishio.
Assenga pia amewataja kwa majina baadhi ya viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema, na Makamu Mwenyekiti Bara, John Heche, akidai wamekuwa wakihusishwa na biashara zisizoeleweka huku wakishindwa kujibu hoja za msingi wanazotakiwa kueleza kwa wanachama.
“Lema amesema hawa watu wamepewa milioni mia. Nafikiri amezoea hizi biashara ambazo wao na Makamu wamekuwa wakifanya. Tumeshazungumza mara kadhaa, tumemwambia Mheshimiwa Heche ajitokeze atueleze magari anayomiliki, ameyatoa wapi, na mahusiano yake na baadhi ya mawaziri,” amesema kwa ukali.
Assenga ameongeza kuwa chama sasa kinaendeshwa kwa woga, na kimekosa mwelekeo wa wazi wa kisiasa, akisema hali hiyo imemlazimu kuchukua hatua ya kujiondoa.
“Wamekuwa waoga. Chama kimekosa mwelekeo. Chama hiki hakiwezi kwenda mbele. Najivua uanachama, naachia uhasibu wa Kanda na uenyekiti wangu wa Segerea,” ametangaza rasmi mbele ya wanahabari
Mwamba ni hatari na nusu ni bingwa wa wabishi.Wabishi wanataharuki tu.Mw
Mwamba alijua kutengeneza chama, aisee kangatuka hata mwaka haujaisha chama kinameguka kila leo
Tayari mmeanza ukabilaMasawe!!!?? Kwa hili jina tu unaonekana kuwa ni bakuli la Mbowe
Tuliwaambia Chagadema mkabishaMbona Ni wachaga tu aisee, Lissu endelea kupeleka Moto, Hawa wahuni walifanya Saccoss ya Kabila lao
View: https://www.youtube.com/watch?v=7DyNX31-xaQ
View attachment 3333504
Henry John Kilewo, Mwenyekiti wa CHADEMA Kinondoni, atangaza kujivua Uanachama
View attachment 3333505
Henry John Kilewo: Naondoka CHADEMA tukutane kwenye jukwaa lingine, siendi kuanza upya